Ratiba ya NBC Premier League Leo Mei 22, 2026
Mbio za kumsaka bingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 zinaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa dimbani kupambania pointi tatu muhimu dhidi ya Singida BS katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa KMC Complex, DSM.
Ratiba ya NBC Premier League leo Mei 22, 2026 pia ina mchezo mwingine utakaowakutanisha Azam FC dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa Azam Complex, DSM.
Ratiba ya NBC Premier League Leo
| Muda | Mechi | Mashindano/Msimu | Uwanja |
|---|---|---|---|
| 4:00 pm | Young Africans vs Singida BS | NBC Premier League 2025/2026, 2025/26 | KMC Complex, DSM |
| 6:30 pm | Azam FC vs Tanzania Prisons | NBC Premier League 2025/2026, 2025/26 | Azam Complex, DSM |
Mapendekezo ya Mhariri:






Leave a Reply