Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 13 June 2026
Michuano ya Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo huku mechi tatu kupigwa katika viunga vya viwanja mbalimbali, ambapo mabingwa watetezi Yanga wakitarajiwa kuwa ugenini dhidi ya Mashujaa FC kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, saa 10:15 jioni.
Mchezo mwingine wa mapema utawakutanisha Mbeya City na Mtibwa Sugar saa 8:00 mchana kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, kabla ya JKT Tanzania kuivaa Singida Black Stars saa 12:30 jioni kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni. Mechi hizo zinabeba uzito kwenye msimamo kutokana na nafasi za timu, pointi na mwenendo wao wa hivi karibuni.
Ratiba ya Ligi Kuu NBC Leo
| Muda | Mechi | Uwanja |
| Saa 8:00 mchana | Mbeya City vs Mtibwa Sugar | Uwanja wa Sokoine, Mbeya |
| Saa 10:15 jioni | Mashujaa FC vs Yanga | Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma |
| Saa 12:30 jioni | JKT Tanzania vs Singida Black Stars | Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni |

Mapendekezo ya Mhariri:
- PSG Mabingwa Tena UEFA Champions League Baada ya Ushindi wa Penalti Dhidi ya Arsenal
- Liverpool Yaachana na Arne Slot, Iraola Apewa Nafasi Kubwa Kumrithi
- Ratiba Ligi Kuu Bara 2026 Yawagawa Wadau Baada ya Msimu Kusogezwa Hadi Juni 30
- Ratiba ya Kombe la Dunia 2026: Mechi Zote, Tarehe, Viwanja na Makundi
- Yanga Yaiingilia Azam Dili la Winga Mkongo Henoc Molia




```







Leave a Reply