Msimamo wa Makundi AFCON 2025

Msimamo wa Makundi AFCON 2025

Michuano ya AFCON 2025 Teari imeanza kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali nchini Morocco 🇲🇦, ikionesha ushindani mkubwa kati ya timu bora za soka barani Afrika. Mashindano haya makubwa ya Mataifa ya Afrika yanatarajiwa kuleta burudani ya kiwango cha juu, huku kila taifa likipambana kuwania heshima, historia na ubingwa wa Afrika.

Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 ilianza rasmi kutimua vumbi Desemba 21 mwaka huu, na inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi hadi januari 18 2025 ambapo timu za mataifa mbalimbali zitapambana kufa na kupona ili kumsaka bingwa wa michuano hii ambae ataondoka na kitita cha dola milioni 10.

Msimamo wa Makundi AFCON 2025

Msimamo wa Kundi A AFCON 2025

PosTimuPWDLGFGAGDPts
1Morocco11002023
2Zambia10101101
3Mali10101101
4Comoros100102-20

Msimamo wa Kundi B AFCON 2025

PosTimuPWDLGFGAGDPts
1Angola00000000
2Egypt00000000
3South Africa00000000
4Zimbabwe00000000

Msimamo wa Kundi C AFCON 2025

PosTimuPWDLGFGAGDPts
1Nigeria00000000
2Tanzania00000000
3Tunisia00000000
4Uganda00000000

Msimamo wa Kundi D AFCON 2025

PosTimuPWDLGFGAGDPts
1Benin00000000
2Botswana00000000
3DR Congo00000000
4Senegal00000000

Msimamo wa Kundi E AFCON 2025

PosTimuPWDLGFGAGDPts
1Algeria00000000
2Burkina Faso00000000
3Equatorial Guinea00000000
4Sudan00000000

Msimamo wa Kundi F AFCON 2025

PosTimuPWDLGFGAGDPts
1Cameroon00000000
2Gabon00000000
3Ivory Coast00000000
4Mozambique00000000

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Haaland Aipiku Rekodi ya Magoli ya Cristiano Ronaldo EPL
  2. Bingwa wa AFCON 2025 Kubeba Zaidi ya Bilioni 24 za Kitanzania
  3. Chelsea Yanusurika Kupigika Nyumbani Kwa Newcastle United
  4. AFCON Kufanyika Kila Baada ya Miaka 4: Rais wa CAF Patrice Motsepe Atangaza Mabadiliko Makubwa
  5. Kocha Mpya Wa Simba Steve Barker Atambulishwa Leo Ijumaa Desemba 19, 2025
  6. Ratiba Ya Kombe La Mapinduzi 2026 (Mapinduzi CUP 2026)
  7. Makundi ya Kombe la Mapinduzi 2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo