Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results)

Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results) | Grade A Teachers Certificate Examination (GATCE)

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results) pamoja na matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika kati ya Mei 5 hadi 26, 2025. Matokeo haya yametangazwa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na Katibu Mtendaji wa NECTA, Prof Said Mohamed, katika hafla maalum iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr. Said Mohammed, alibainisha kuwa ufaulu kwa wanafunzi wa shule waliofanya mtihani wa kidato cha sita umefikia asilimia 99.95%, ambapo jumla ya 125,779 kati ya watahiniwa wote wamefaulu. Hii ni ongezeko dogo la ufaulu ukilinganisha na mwaka 2024 ambapo ufaulu ulikuwa 99.92%.

Kwa upande mwingine, watahiniwa 68 pekee sawa na 0.05% hawakufaulu. Hili linadhihirisha juhudi kubwa zinazofanywa katika kuboresha elimu nchini na kuandaa walimu bora wa baadaye kupitia Mitihani ya Ualimu Ngazi ya Cheti (GATCE).

Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results)

Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results)

Hapa tumekurahisishia zoezi la kuangalia Matokeo ya Ualimu Ngazi ya Cheti 2025 (NECTA GATCE Results) kwa kukuletea viungo vya moja kwa moja vitakavyokuwezesha kuona matokeo yako moja kwa moja. Ili kuangalia matokeo:

🔍 Tafuta jina la chuo kwenye orodha hapa chini kisha bonyeza jina hilo ili kufungua matokeo moja kwa moja.

ALL CENTRESABCDEF
GHIJKLM
NOPQRST
UVWXYZ

Bofya Jina la Chuo Hapa Chini Kuangalia Matokeo Yake

504 KATOKE TEACHERS’ COLLEGE506 MARANGU TEACHERS’ COLLEGE510 TABORA TEACHERS’ COLLEGE
511 BUSTANI TEACHERS’ COLLEGE512 MHONDA TEACHERS’ COLLEGE513 MANDAKA TEACHERS’ COLLEGE
514 ILONGA TEACHERS’ COLLEGE515 KASULU TEACHERS’ COLLEGE516 MURUTUNGURU TEACHERS’ COLLEGE
517 KITANGALI TEACHERS’ COLLEGE518 NDALA TEACHERS’ COLLEGE520 SINGACHINI TEACHERS’ COLLEGE
522 KINAMPANDA TEACHERS’ COLLEGE523 MONDULI TEACHERS’ COLLEGE524 MPUGUSO TEACHERS’ COLLEGE
528 TANDALA TEACHERS’ COLLEGE529 TARIME TEACHERS’ COLLEGE532 NACHINGWEA TEACHERS’ COLLEGE
534 MTWARA TEACHERS’ COLLEGE537 SHINYANGA TEACHERS’ COLLEGE538 BUNDA TEACHERS’ COLLEGE
540 AL-HARAMAIN ISLAMIC TEACHERS’ COLLEGE542 SUMBAWANGA TEACHERS’ COLLEGE544 KABANGA TEACHERS’ COLLEGE
545 MTWARA TECHNICAL TEACHERS’ COLLEGE549 NAZARETH TEACHERS’ COLLEGE556 VIKINDU TEACHERS’ COLLEGE
559 ST. MARY’S TEACHERS’ COLLEGE563 ARAFAH TEACHERS’ COLLEGE564 COAST TEACHERS’ TRAINING COLLEGE
565 GREEN BIRD TEACHERS’ COLLEGE567 MONTESSORI KAWEKAMO TEACHERS’ COLLEGE571 ARUSHA TEACHERS’ COLLEGE
575 SINGIDA TEACHERS’ COLLEGE577 EBONITE TEACHERS’ COLLEGE581 AGGREY TEACHERS’ COLLEGE
583 SAHARE TEACHERS’ COLLEGE585 ST. FRANCIS NKINDO TEACHERS’ COLLEGE588 DAKAWA TEACHERS’ COLLEGE
591 RUKWA TEACHERS’ COLLEGE597 MBEYA MORAVIAN TEACHERS’ COLLEGE600 MTUMBA TEACHERS’ COLLEGE
607 MWALIMU FRANZ TEACHERS’ COLLEGE608 LAKE TEACHERS’ COLLEGE610 BISHOP DURNING TEACHERS’ COLLEGE
620 MUSOMA UTALII TEACHERS’ COLLEGE621 SILA TEACHERS’ COLLEGE623 KING’ORI TEACHERS’ COLLEGE
629 ST MAURUS CHEMCHEM TEACHERS’ COLLEGE633 KIGOGO TEACHERS’ COLLEGE645 TUSAALE TEACHERS’ COLLEGE
649 KILIMANJARO MODERN TEACHERS’ COLLEGE652 MAMIRE TEACHERS’ COLLEGE658 NYAMWEZI TEACHERS’ COLLEGE
663 TEOFILO KISANJI TEACHERS’ COLLEGE681 DC BRILLIANT TEACHERS COLLEGE683 VST TEACHERS’ COLLEGE
685 PARTAGE MONTESSORI TEACHERS COLLEGE

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Tarehe ya Kutangazwa kwa Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 na NECTA
  2. Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 NECTA ACSEE
  3. Fomu Za Kujiunga Kidato Cha Tano (Form Five Joining Instruction Form) 2025
  4. Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 (Form Five Selection)
  5. Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano Zanzibar 2025
  6. Majina ya Waliochaguliwa Vyuo Vya Kati 2025/2026 (Selection Vyuo Vya Kati)
  7. Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025 (Tamisemi Selection)
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo