Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA Form Six Results)

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA Form Six Results)

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA Form Six Results), baada ya kukamilika kwa mtihani huo uliofanyika kuanzia Mei 5 hadi 26, 2025.

Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, akibainisha viwango vya ufaulu, hali ya udanganyifu, na hatua zilizochukuliwa dhidi ya wahusika.

Kwa mujibu wa Prof. Said, wanafunzi 125,779, ambao ni asilimia 99.95% ya watahiniwa wa shule, wamefaulu mtihani wa kidato cha sita mwaka huu, ikilinganishwa na asilimia 99.92% mwaka 2024. Hii inaonesha ongezeko la ufaulu kwa 0.03%, jambo linalotafsiriwa kuwa ni dalili chanya ya kuboreka kwa mfumo wa elimu nchini.

NECTA Yafuta Matokeo kwa Sababu za Udanganyifu

Pamoja na mafanikio hayo, Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza kufuta matokeo ya watahiniwa 71 waliobainika kufanya udanganyifu. Kati yao, 70 walikuwa wa kidato cha sita (ikiwa ni 64 kutoka shule za kawaida na 6 wa kujitegemea) na mwanafunzi mmoja wa mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE). Hatua hiyo imetolewa chini ya mamlaka ya Kifungu cha 5(2)(i) na (j) cha Sheria ya Baraza la Mitihani Sura ya 107, pamoja na Kifungu cha 30(2)(b) cha Kanuni za Mitihani za mwaka 2016.

Lengo Kuu la Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE)

Mtihani wa ACSEE (Advanced Certificate of Secondary Education Examination) una malengo mahususi katika maendeleo ya elimu ya juu kwa wanafunzi:

  1. Kupima uwezo wa mwanafunzi kujiunga na elimu ya juu kama vyuo vikuu na taasisi za elimu ya kati.
  2. Kutathmini ujuzi na maarifa ya mwanafunzi, ikiwa ni maandalizi ya maisha ya baadaye kazini au kitaaluma.
  3. Kuthibitisha kiwango cha uelewa wa mwanafunzi katika masomo mbalimbali kama PCM, EGM, HGL, ECA, nk.

Wanafunzi waliohitimu wanatarajiwa kuonesha uelewa wa kina wa kimaudhui, kuchambua hoja, kuunganisha dhana, na kutoa tathmini sahihi kwa misingi ya kitaaluma.

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA Form Six Results)

Je, Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Yalitangazwa Lini?

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA Form Six Results) yametangazwa rasmi Julai 7, 2025, ambayo ni mapema ukilinganisha na baadhi ya miaka iliyopita. Tazama mwenendo wa miaka iliyotangulia:

MwakaTarehe ya Matokeo
2025Julai 07
2024Julai 13
2023Julai 13
2022Julai 5
2021Julai 10
2020Agosti 21

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA Form Six Results)

NECTA imeanzisha njia mbalimbali za kuwasaidia wanafunzi na wazazi kupata Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 kwa urahisi:

1. Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 Kupitia Mtandao (Online)

Hapa tumekurahisishia zoezi la kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA Form Six Results) kwa kukuletea viungo vya moja kwa moja vitakavyokuwezesha kuona matokeo ya shule yako moja kwa moja. Ili kuangalia matokeo ya shule yako:

🔍 Tafuta jina la shule kwenye orodha hapa chini kisha bonyeza jina hilo ili kufungua matokeo moja kwa moja.

ALL CENTRESABCDEF
GHIJKL
MNOPQRS
TUVWXYZ

Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 (NECTA Form Six Results 2025)

P0101 AZANIA CENTREP0104 BWIRU BOYS’ CENTREP0110 ILBORU CENTRE
P0112 IYUNGA CENTREP0116 KANTALAMBA CENTREP0119 KIBAHA CENTRE
P0123 KWIRO CENTREP0129 MARA CENTREP0134 MOSHI CENTRE
P0136 MUSOMA CENTREP0138 MPWAPWA CENTREP0140 MZUMBE CENTRE
P0143 NJOMBE CENTREP0145 NYAKATO CENTREP0147 PUGU CENTRE
P0150 SAME CENTREP0153 SONGEA BOYS’ CENTREP0156 TANGA TECHNICAL CENTRE
P0167 KIDUGALA SEMINARY CENTREP0203 IRINGA GIRLS’ CENTREP0209 KOROGWE CENTRE
P0210 BIGWA SISTERS’ CENTREP0211 LOLEZA CENTREP0220 TABORA GIRLS’ CENTRE
P0228 MPANDA GIRLS’ CENTREP0301 AIRWING J.W.T.Z. CENTREP0302 ARUSHA CENTRE
P0304 BUKOBA CENTREP0305 BULUBA CENTREP0306 DODOMA CENTRE
P0307 DODOMA CENTRAL CENTREP0308 ENABOISHU CENTREP0313 IKIZU CENTRE
P0316 KIBASILA CENTREP0321 KINONDONI CENTREP0324 LINDI CENTRE
P0325 LUGALO CENTREP0326 LUMUMBA CENTREP0328 MAWENZI CENTRE
P0329 MAKUMIRA CENTREP0330 MBEYA CENTREP0333 MWANZA CENTRE
P0334 MWENGE CENTREP0338 NDANDA CENTREP0341 SANGU CENTRE
P0345 USAGARA CENTREP0352 TARIME CENTREP0353 PARANE CENTRE
P0355 LOMWE CENTREP0359 KIGURUNYEMBE CENTREP0360 KISHOJU CENTRE
P0361 SINGE CENTREP0364 KARATU CENTREP0368 IMBORU CENTRE
P0370 IFAKARA CENTREP0380 UCHAMA CENTREP0383 BEN BELLA CENTRE
P0385 UJIJI CENTREP0386 GEITA CENTREP0387 KARAGWE CENTRE
P0389 SHAURITANGA CENTREP0397 RULENGE CENTREP0400 SHAMIANI CENTRE
P0404 TUNDURU CENTREP0413 KIBITI CENTREP0416 MONDULI TEACHERS’ COLLEGE CENTRE
P0418 LUTENGANO CENTREP0425 MPWAPWA TEACHERS’ COLLEGE CENTREP0426 WANGING’OMBE CENTRE
P0427 MAKAMBAKO CENTREP0432 JABAL-HIRA CENTREP0440 SONGEA TEACHERS’ COLLEGE CENTRE
P0443 META CENTREP0445 MWEMBETOGWA CENTREP0457 IGAWILO CENTRE
P0458 KASULU TEACHERS’ COLLEGE CENTREP0461 JOHN PAUL II KAHAMA CENTREP0465 JAMHURI CENTRE
P0467 NYUKI J.W.T.Z. CENTREP0488 RUTABO CENTREP0489 SUJI CENTRE
P0493 AL-HARAMAIN CENTREP0496 JITEGEMEE CENTREP0511 HANDENI CENTRE
P0515 ILULA CENTREP0516 MOMBO CENTREP0533 SARWATT CENTRE
P0538 VWAWA CENTREP0539 MAGU CENTREP0544 MKUU CENTRE
P0549 LUGOBA CENTREP0550 BUGENE CENTREP0551 NACHINGWEA CENTRE
P0554 NGUDU CENTREP0560 KASULU CENTREP0563 TABORA TEACHERS’ COLLEGE CENTRE
P0566 BUTIMBA TEACHERS’ COLLEGE CENTREP0581 ILEJE CENTREP0586 KAISHO CENTRE
P0590 WILIMA CENTREP0600 BUNDA CENTREP0610 NKASI CENTRE
P0612 KAGANGO CENTREP0618 LUPALILO CENTREP0629 EDMUND-RICE-SINON CENTRE
P0632 BONDENI CENTREP0640 MBALIZI CENTREP0641 MEATU CENTRE
P0651 UKUMBI CENTREP0652 POMERINI CENTREP0653 MWAKAVUTA CENTRE
P0660 MOROGORO TEACHERS’ COLLEGE CENTREP0667 NYAISHOZI CENTREP0681 IVUMWE CENTRE
P0682 MPOROTO CENTREP0686 CHATO CENTREP0688 MSAKILA CENTRE
P0706 KALANGALALA CENTREP0710 BINZA CENTREP0712 BARIADI CENTRE
P0713 IGUNGA CENTREP0716 MALECELA CENTREP0725 NEWMAN CENTRE
P0726 MBEKENYERA CENTREP0727 MKWAJUNI CENTREP0731 MAKONGO CENTRE
P0738 RIDHWAA SEMINARY CENTREP0739 HIJRA CENTREP0740 ALI HASSAN MWINYI CENTRE
P0741 ITENDE CENTREP0742 BULONGWA CENTREP0751 RUHUWIKO CENTRE
P0752 RUNZEWE CENTREP0765 UNYANYEMBE CENTREP0769 MALAGARASI CENTRE
P0770 SUMVE HIGH SCHOOL CENTREP0791 KIGAMBONI CENTREP0792 MANGAKA CENTRE
P0796 MCHANGA MDOGO CENTREP0797 BUNDA TEACHERS’ COLLEGE CENTREP0798 KOROGWE TEACHERS’ COLLEGE CENTRE
P0806 ST.THERESA CITY CENTREP0812 MAHIWA CENTREP0841 HUMURA CENTRE
P0882 SONGEA MUSLIM SEMINARY CENTREP0887 INYONGA CENTREP0904 KONGWA CENTRE
P0909 NAZARENE CENTREP0912 BONGWE CENTREP0936 KALIUA CENTRE
P0938 MBEZI BEACH CENTREP0947 DR.OLSEN CENTREP0967 MLOLE CENTRE
P1008 ST.MAURUS CHEMCHEMI CENTREP1034 ITILIMA CENTREP1043 TUKUYU CENTRE
P1055 SOUTHERN HIGHLANDS CENTREP1072 KAMENE CENTREP1077 OCEAN CENTRE
P1093 ALDERGATE CENTREP1099 NYEHUNGE CENTREP1141 SWILLA CENTRE
P1156 TEMEKE TEACHERS’ RESOURCE CENTREP1202 MTERA CENTREP1240 DAKAMA CENTRE
P1246 MIDLAND CENTREP1257 ARAFAH ISLAMIC SEMINARY CENTREP1258 TUMATI CENTRE
P1278 MBEZI HIGH SCHOOL CENTREP1292 SINGIDA CENTREP1315 LAKE TANGANYIKA CENTRE
P1343 ANNE MARIE CENTREP1344 MWL. J K NYERE CENTREP1349 NYAKAHURA CENTRE
P1361 SAMORA MACHEL CENTREP1375 NEW ERA CENTREP1378 KLERRUU TEACHERS’ COLLEGE CENTRE
P1380 TUKUYU TEACHERS’ COLLEGE CENTREP1383 MZINGA CENTREP1430 KIUMA CENTRE
P1433 BALILI CENTREP1434 PIUS CENTREP1474 WHITE LAKE CENTRE
P1475 PERFECT-VISION CENTREP1495 GENESIS HIGH SCHOOL CENTREP1584 KIWANJA CENTRE
P1587 MUFINDI T.R.C. CENTREP1593 KENT CENTREP1600 BISHOP DURNING CENTRE
P1610 CHIEF KIDULILE CENTREP1761 MAKANGARAWE CENTREP1770 IMAGE CENTRE
P1817 SENGEREMA T.R.C. CENTREP2178 GOLDEN RIDGE HIGH SCHOOL CENTREP2211 MWILAMVYA CENTRE
P2326 MANGUANJUKI CENTREP2359 MAGHABE CENTREP2378 AIRPORT CENTRE
P2655 MARANATHA CENTREP3000 KIEMBESAMAKI ‘A’ ISLAMIC CENTREP3485 WAAMUZI CENTRE
P3601 ILASI CENTREP3630 HOLLYWOOD CENTREP3634 MUGUMU CENTRE
P3793 RUANGWA CENTREP3800 KIKODI CENTREP3886 SIMBA WA YUDA CENTRE
P3914 ALFAGEMS CENTREP3983 ULAMBYA CENTREP3993 VANESSA CENTRE
P4002 MWANAKWEREKWE C CENTREP4007 AGUSTIVO CENTREP4014 WINNING SPIRIT CENTRE
P4036 EBONITE TC CENTREP4071 AGGREY CHANJI CENTREP4163 KIJOTA HULL HIGH SCHOOL CENTRE
P4236 DINOBB CENTREP4287 KASSU CENTREP4351 GENDA CENTRE
P4419 LUKOLE CENTREP4512 NIA EDUCATION CENTREP4759 HEBRON CENTRE
P4797 FARAJA SIHA SEMINARY CENTREP4803 NDYUDA CENTREP4875 HAYATUL ISLAMIYA CENTRE
P4894 CANAAN HIGH SCHOOL CENTREP5150 CHASASA CENTREP5196 GREENCITY CENTRE
P5236 SONGWE SUNRISE CENTREP5312 GODMAKO CENTREP5443 LOHI EDUCATION CENTRE
P5444 KIRINJIKO ISLAMIC TEACHERS’ COLLEGE CENTREP5473 LUMWAGO CENTREP5513 HOVINAIS OPEN SCHOOL CENTRE
P5522 NGUNYA OPEN SCHOOL CENTREP5527 FASU MODERN EDUCATION CENTREP5545 KILIMANJARO MODERN TEACHERS’ COLLEGE CENTRE
P5577 STENROON EDUCATION CENTREP5584 EXCELLENCE OPEN SCHOOL CENTREP5658 TEOFILO KISANJI UNIVERSITY CENTRE
P6121 CHISUNGA OPEN SCHOOL CENTREP6262 ALFA OPEN CENTREP6263 WINNERS OPEN CENTRE
P6466 MOROGORO OPEN SCHOOL CENTREP6717 PAMWETU ITUHA OPEN SCHOOLS0101 AZANIA
S0103 BIHAWANAS0104 BWIRU BOYS’S0105 CHIDYA
S0106 DUNG’UNYI SEMINARYS0108 IFUNDA TECHNICALS0109 IHUNGO
S0110 ILBORUS0111 ITAGA SEMINARYS0112 IYUNGA TECHNICAL
S0113 MAFINGA SEMINARYS0114 KAENGESA SEMINARYS0115 KAHORORO
S0116 KANTALAMBAS0117 KASITA SEMINARYS0118 KATOKE SEMINARY
S0119 KIBAHAS0120 KIGONSERAS0121 ST. JAMES SEMINARY
S0123 KWIROS0124 LIKONDE SEMINARYS0125 LYAMUNGO
S0128 MALANGALIS0129 MARAS0130 MAUA SEMINARY
S0132 MILAMBOS0133 MINAKIS0134 MOSHI
S0135 MOSHI TECHNICALS0136 MUSOMAS0138 MPWAPWA
S0139 MTWARA TECHNICALS0140 MZUMBES0141 NAMUPA SEMINARY
S0142 GALANOSS0143 NJOMBES0144 NSUMBA
S0145 NYAKATOS0146 NYEGEZI SEMINARYS0147 PUGU
S0148 RUBYA SEMINARYS0149 RUNGWES0150 SAME
S0151 SENGEREMAS0152 SHINYANGAS0153 SONGEA BOYS’
S0154 ST.PETER’S SEMINARYS0155 TABORA BOYS’S0156 TANGA TECHNICAL
S0158 TOSAMAGANGAS0160 UMBWES0164 USA SEMINARY
S0165 URU SEMINARYS0167 KIDUGALA LUTHERAN SEMINARYS0168 SANU SEMINARY
S0174 CONSOLATA SEMINARYS0175 SALESIAN SEMINARYS0176 LUSANGI MORAVIAN JUNIOR SEMINARY
S0177 ST.MARY’S JUNIOR SEMINARYS0178 MANOW LUTHERAN JUNIOR SEMINARYS0181 KISARAWE LUTHERAN JUNIOR SEMINARY
S0182 AL-FAROUQ SEMINARYS0184 AGAPE LUTHERAN JUNIOR SEMINARYS0187 AN-NOOR ISLAMIC BOYS SEMINARY
S0188 KIRINJIKO ISLAMIC SEMINARYS0189 FEZA BOYS’S0190 ST.JOSEPH-KILOCHA SEMINARY
S0197 MATANGINI ISLAMIC SEMINARYS0198 AILANGA LUTHERAN JUNIOR SEMINARYS0201 ASHIRA
S0202 BWIRU GIRLS’S0203 IRINGA GIRLS’S0204 JANGWANI
S0205 KIBOSHO GIRLS’S0206 KILAKALAS0207 KIRAENI GIRLS’
S0208 KISUTUS0209 KOROGWE GIRLS’S0210 BIGWA SISTERS’ SEMINARY
S0211 LOLEZAS0212 MACHAME GIRLS’S0213 MASASI GIRLS’
S0214 MSALATOS0215 MTWARA GIRLS’S0216 NGANZA
S0217 PERAMIHO GIRLS’S0218 RUGAMBWAS0219 SONGEA GIRLS’
S0220 TABORA GIRLS’S0221 WERUWERUS0222 ZANAKI
S0223 MASAMA GIRLS’S0224 KIFUNGILO GIRLS’S0227 MASWA GIRLS’
S0228 MPANDA GIRLS’S0229 KONDOA GIRLS’S0230 KIBONDO
S0233 ST.MARY’S MAZINDE JUUS0234 ST. LUISE MBINGA GIRLS’S0235 BUKUMBI
S0241 KOWAK GIRLS’S0245 PALLOTI GIRLS’S0246 MAASAE GIRLS’ LUTHERAN
S0247 BONICONSILI MABAMBA GIRLS’S0248 MARIAN GIRLS’S0249 LORETO GIRLS’
S0252 AL-KHEIR ISLAMIC GIRLS’ SEMINARYS0254 WALI-UL-ASR GIRLS’ SEMINARYS0255 ST. CHRISTINA GIRLS’
S0256 HURUMA GIRLS’S0263 VISITATION GIRLS’S0264 BARBRO-JOHANSSON
S0266 REGINAMUNDI GIRLS’S0271 MANYUNYUS0272 AL-IHSAN GIRLS’
S0275 GLENRONS GIRLS’S0276 IFUNDA GIRLS’S0279 EMMABERG GIRLS’
S0281 CHIEF IHUNYOS0283 JOHN THE BAPTISTS0284 RONECA GIRLS’
S0285 ST. THERESIA GIRLS’S0291 GHOMMES0298 FEZA GIRLS’
S0299 MKUGWAS0302 ARUSHAS0304 BUKOBA
S0305 BULUBAS0306 DODOMAS0307 DODOMA CENTRAL
S0308 ENABOISHUS0309 FIDEL CASTROS0310 FOREST HILL
S0312 HIGHLANDSS0313 IKIZUS0314 KAZIMA
S0316 KIBASILAS0320 KIGOMAS0321 KINONDONI
S0323 LAKES0324 LINDIS0325 LUGALO
S0326 LUMUMBAS0328 MAWENZIS0329 MAKUMIRA
S0330 MBEYAS0332 MOROGOROS0333 MWANZA
S0334 MWENGES0338 NDANDAS0339 OMUMWANI
S0341 SANGUS0342 SHAABAN ROBERTS0345 USAGARA
S0346 UYUIS0347 TAMBAZAS0348 TUMAINI
S0351 BAGAMOYOS0352 TARIMES0353 PARANE
S0355 LOMWES0356 VUNJOS0359 KIGURUNYEMBE
S0360 KISHOJUS0361 SINGES0363 MWADUI
S0364 KARATUS0367 KILOSAS0368 IMBORU
S0369 RUVUS0370 IFAKARAS0375 JUMUIYA
S0376 SONI SEMINARYS0380 UCHAMAS0381 UTAANI
S0383 BEN BELLAS0385 UJIJIS0386 GEITA
S0387 KARAGWES0388 MARANGUS0389 SHAURITANGA
S0390 HAMAMNIS0391 HAILE SELASSIES0397 RULENGE
S0400 SHAMIANIS0402 MKWAJUNIS0404 TUNDURU
S0405 BIHARAMULOS0409 MORINGE SOKOINES0413 KIBITI
S0416 MONDULI TEACHERS’ COLLEGES0418 LUTENGANOS0419 CHOME
S0420 CHANJALE SEMINARYS0425 MPWAPWA TEACHERS’ COLLEGES0426 WANGING’OMBE
S0427 MAKAMBAKOS0429 LUPEMBES0430 UWEMBA
S0431 MTWANGOS0432 JABAL-HIRA MUSLIM JUNIOR SEMINARYS0436 KAFULE
S0439 BUPANDAGILA ADVENTISTS0440 SONGEA TEACHERS’ COLLEGES0441 KILWA
S0443 METAS0444 ITAMBAS0445 MWEMBETOGWA
S0446 MGOLOLOS0447 MDABULOS0448 SADANI
S0449 J.J.MUNGAIS0455 TWEYAMBES0457 IGAWILO
S0458 KASULU TEACHERS’ COLLEGES0461 JOHN PAUL II KAHAMAS0462 WIGEHE
S0465 JAMHURIS0466 WARIS0467 NYUKI
S0468 KIRIKIS0471 MBOZIS0473 KANYIGO
S0474 KISOMACHIS0484 MKINGAS0485 MAJENGO
S0488 RUTABOS0489 SUJIS0490 SHEMSANGA
S0493 AL-HARAMAIN ISLAMIC SEMINARYS0496 JITEGEMEES0500 WANIKE
S0501 UWELENIS0506 UNGWASIS0511 HANDENI
S0514 UROKIS0515 ILULAS0516 MOMBO
S0517 KILIS0521 MATOMBOS0524 RUJEWA
S0526 MRINGAS0527 ULAYASIS0530 NDWIKA GIRLS’
S0533 SARWATTS0534 ST.ANTHONY’SS0535 MAKOGA
S0537 ST.PAUL’S LIULIS0538 VWAWAS0539 MAGU
S0540 MAPOSENIS0541 MARAMBAS0543 MANEROMANGO
S0544 MKUUS0545 KIAGATAS0546 PAMBA
S0547 MAZWIS0548 SHAMBALAIS0549 LUGOBA
S0550 BUGENES0551 NACHINGWEAS0552 MAGOTO
S0554 NGUDUS0555 BUNGUS0556 MAKONGORO
S0558 MWANGAS0559 BWABUKIS0560 KASULU
S0563 TABORA TEACHERS’ COLLEGES0564 BUSWELUS0566 BUTIMBA TEACHERS’ COLLEGE
S0578 TAQWAS0580 IGOWOLES0581 ILEJE
S0584 LWANDAIS0585 MUNANILAS0586 KAISHO
S0590 WILIMAS0591 RUANDAS0596 LIWALE DAY
S0600 BUNDAS0601 SERENGETI DAYS0604 KIBAKWE
S0607 LULUMBAS0609 MATAIS0610 NKASI
S0611 KABANGAS0612 KAGANGOS0613 NYAMPULUKANO
S0614 NYERERES0616 MWANDIGAS0617 LUSANGA
S0618 LUPALILOS0622 KUNDUCHI GIRLS’ ISLAMIC HIGH SCHOOLS0625 BALANGDALALU
S0629 EDMUND-RICE-SINONS0632 BONDENIS0633 TALLO
S0635 MSUFINIS0637 NYABIYONZAS0638 BUNAZI
S0639 UDZUNGWAS0640 MBALIZIS0641 MEATU
S0643 DAREDAS0651 UKUMBIS0652 POMERINI
S0653 MWAKAVUTAS0656 LYAMAHOROS0660 MOROGORO TEACHERS’ COLLEGE
S0662 MWANZIS0663 SANGITIS0665 MWEMBENI

Kumbuka: Viungo vya majina ya shule vitakupeleka moja kwa moja kwenye ukurasa wa NECTA wa matokeo ya Kidato cha Sita kwa shule husika. Kama jina la shule yako halipo kwenye orodha hii fupi, bonyeza herufi ya mwanzo ya jina la shule yako kwenye orodha ya ALL CENTRES ili kuipata.

2. Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita Kupitia USSD – Simu ya Mkononi (Bila Intaneti)

Njia hii ni nzuri kwa walio kwenye maeneo yenye changamoto ya mtandao:

  1. Piga *152*00# kwenye simu yako.
  2. Chagua namba 8 – Elimu, kisha namba 2 – NECTA.
  3. Chagua namba 1 – Matokeo, halafu namba 2 – ACSEE.
  4. Ingiza namba ya mtihani (mfano: S0334/0556/2025).
  5. Chagua njia ya malipo (gharama ya kawaida ni Tsh 100/=).
  6. Utapokea matokeo yako kwa SMS.

3. Kupitia Shule Husika

Shule nyingi hupokea nakala rasmi ya matokeo kutoka NECTA na kuyabandika kwenye ubao wa matangazo. Wanafunzi wanaweza kwenda shuleni au kuwasiliana na walimu ili kusaidiwa kuona matokeo yao.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Tarehe ya Kutangazwa kwa Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 na NECTA
  2. Matokeo ya Kidato cha Sita 2025 NECTA ACSEE
  3. Fomu Za Kujiunga Kidato Cha Tano (Form Five Joining Instruction Form) 2025
  4. Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 (Form Five Selection)
  5. Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano Zanzibar 2025
  6. Majina ya Waliochaguliwa Vyuo Vya Kati 2025/2026 (Selection Vyuo Vya Kati)
  7. Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025 (Tamisemi Selection)
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo