Matokeo ya Kidato cha Sita 2026: Haya Hapa ACSEE Results
Baraza la Mitihani la Tangaza rasmi Matokeo ya Kidato cha Sita 2026, huku watahiniwa waliofanya Mtihani wa Taifa wa Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) sasa wakiwa na nafasi ya kuangalia matokeo yao.
Matokeo hayo yametangazwa Jumatatu, Julai 6, 2026, na Katrofesa Said Mohamed, jijini Dar es Salaam.
Jumla ya watahiniwa 133,655 walifanya mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2026. Kwa upande wa watahiniwa wa shule, wanaume walikuwa 64,187, sawa na asilimia 50.71, huku wanawake wakiwa 62,391, sakuangalia ACSEE Results 2026 kwa kuchagua shule au kituo chao cha mtihani katika orodha iliyopo hapa chini.

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita 2026
NECTA imeweka matokeo ya ACSEE 2026 kwa shule na vituo vya mtihani. Ili kuona matokeo, tafuta jina au namba ya shule yako katika orodha, kisha bonyeza jina la shule husika.
Kila kiungo katika orodha kinaelekeza kwenye ukurasa wa matokeo katika tovuti rasmi ya NECTA.
Ni muhimu kuhakiki namba ya shule au kituo kabla yawa shule au vituo vyenye majina yanayofanana.
Tafuta shule yako na uangalie ACSEE Results 2026
Andika jina au namba ya shule kwenye sehemu ya kutafuta hapa chini.
Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2026
Kutumia orodha ya shule ni rahisi. Tafuta jina la shule au kituo ulichofanyia mtihani, kisha bonyeza jina lake kufungua ukurasa wa matokeo.
Baada ya ukurasa wa NECTA kufunguka, tafuta namba yako ya mtihani na uhakiki matokeo yaliyoonyeshwa.
Kwa mfano, mwanafunzi aliyefanya mtihani Azania atatafuta S0101 AZANIA, wakati mwanafunzi wa Bwiru Boys’ atatafuta S0104 BWIRU BOYS’ katika orodha.
Watahiniwa wa kujitegemea wanapaswa kutafuta kituo chao kwa kutumia P-code na jina la centre husika.
Matokeo ya ACSEE 2026 yametangazwa rasmi
Kutangazwa kwa matokeo ya Kidato cha Sita ni hatua muhimu kwa wahitimu wanaojiandaa kuendelea na elimu ya juu na kufanya maamuzi kuhusu masomo yao baada ya A-Level.
Watahiniwa wanashauriwa kutumia taarifa na kurasa rasmi za NECTA wanapoangalia matokeo yao.
Tafuta shule au kituo chako kwenye orodha hapo juu na bonyeza jina lake kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2026 moja kwa moja kupitia NECTA.
Soma Pia:
- Matokeo ya Kidato cha Sita 2026 Yanatarajiwa Kutangazwa Lini?
- Majina ya Wanafunzi na Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2026
- Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2026 Yatangazwa na TAMISEMI
- Tarehe ya Kuripoti Shule Kidato Cha Tano 2026
- Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026/2027




```





Leave a Reply