Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga

Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga

Licha ya kuibuka na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, timu ya wananchi Young Africans SC (Yanga SC) imeendelea kuonesha kiu na dhamira ya kutaka kurudia mafanikio hayo kwa kishindo msimu wa 2025/2026.

Uongozi wa klabu umefanya maboresho makubwa katika kikosi, wakisajili wachezaji wapya na kuimarisha nafasi muhimu ili kuhakikisha timu inabaki kwenye ubora wake wa ndani na kimataifa.

Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano ya kimataifa unatarajiwa kuanza rasmi tarehe 17 Septemba 2025, na tayari mashabiki wa Yanga wana shauku kubwa kuona mastaa wao wapya na wa zamani wakipambana uwanjani.

Katika makala hii tumekuandalia orodha kamili ya Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga ikiwa na majina ya wachezaji wote waliopo kikosini, nafasi wanazocheza pamoja na mataifa wanayotokea.

Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga

Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga

Jina la MchezajiNafasiTaifa
Djigui DiarraKipaMali
Khomeiny AbubakarKipaTanzania
Abuutwalib MsharyKipaTanzania
Ibrahim HamadBeki wa KatiTanzania
Dickson JobBeki wa KatiTanzania
Bakari MwamnyetoBeki wa KatiTanzania
Shaibu MtitaBeki wa KatiTanzania
Mohamed HusseinBeki wa KushotoTanzania
Nickson KibabageBeki wa KushotoTanzania
David BrysonBeki wa KushotoTanzania
Chadrack BokaBeki wa KushotoDR Congo
Kouassi YaoBeki wa KuliaIvory Coast
Israel MwendaBeki wa KuliaTanzania
Issack MtengwaBeki wa KuliaTanzania
Kibwana ShomariBeki wa KuliaTanzania
Moussa Balla ContéKiungo wa UlinziGuinea
Omary Mfaume BiboKiungo wa KatiTanzania
Aziz AndabwileKiungo wa UlinziTanzania
Abdul Nasir Asaa MohammedKiungo wa KatiTanzania
Salum Abubakar “Sure Boy”Kiungo wa UlinziTanzania
Mudathir YahyaKiungo wa KatiTanzania
Mohamed DoumbiaKiungo wa KatiIvory Coast
Jonas MkudeKiungo wa KatiTanzania
Shekhani KhamisKiungo wa KatiTanzania
Duke AbuyaKiungo wa KatiKenya
Clatous ChamaKiungo MshambuliajiZambia
Lassine KoumaKiungo MshambuliajiIvory Coast
Denis NkaneKiungo MshambuliajiCameroon
Faridi MussaWinga wa KushotoTanzania
Celestine EcuaWinga wa KushotoDR Congo
Maxi NzengeliWinga wa KushotoDR Congo
Edmund Godfrey JohnWinga wa KushotoTanzania
Pacome ZouzouaWinga wa KuliaIvory Coast
Jonathan Ikanga LomboWinga wa KuliaDR Congo
Offen ChikolaWinga wa KuliaZambia
Prince DubeMshambuliaji wa KatiZimbabwe
Andy BoyeliMshambuliaji wa KatiDR Congo
Jean BalekeMshambuliaji wa KatiDR Congo
Clement MzizeMshambuliaji wa KatiTanzania

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026
  2. Ratiba ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026
  3. Ratiba ya NBC Premier league 2025/2026
  4. Simba yamtambulisha Wilson Nangu
  5. Bayer Leverkusen Yamtimua Ten Hag Baada ya Mechi Tatu Tu
  6. Hizi Apa Picha za Jezi mpya za Simba 2025/2026
  7. Tarehe za Mechi za Simba VS Yanga 2025/2026: Ratiba ya Dabi ya Kariakoo
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo