Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025

Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025 | Orodha ya Wachezaji wa Tanzania Prisons 2024/2025

Tanzania Prisons Sports Club, moja ya vilabu vikongwe katika soka la Tanzania ambavyo vimekua vikipambana vikali kutunza heshima yake katika  ulimwengu wa soka Tanzania. Tanzania Prisons ni timu inayotoka mkoani Mbeya na inatumia Uwanja wa Sokoine kama uwanja wake wa nyumbani. Ligi Kuu ya Tanzania ni moja ya ligi ngumu zaidi barani Afrika, na msimu huu, Tanzania Prisons imejizatiti na kikosi kipya chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kulisakata kabumbu na wanatarajiwa kufanya vizuri.

Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025

Namba ya Jezi Jina la Mchezaji
40 Mussa Mbisa
17 Samson Mbangula
2 Ezekia Mwashilindi
8 Mussa Haji
12 Samson Mwajituka
21 Michael Mpesa
18 Meshack Mwamita
28 Nurdin Chona
29 Vedastus Mwihambi
27 Harun Chanongo
30 Zabona Mayombya
11 Ismail Ally
49 Osca Mwajanga
14 Salum Kimenya
16 Berno Ngassa
25 Benedicto Jacob
44 Joah James
42 Ally Msengi
49 Wema Sadoki
50 Edward Mwakiyusa
60 Kelvin Sengati

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kikosi cha Taifa Stars Kilichoitwa Kambini Kufuzu AFCON October 2024
  2. Kikosi cha Kinondoni Municipal Council F.C 2024/2025 (Wachezaji wa KMC)
  3. Kikosi Cha Yanga 2024/2025 | Wachezaji Wote Wa Yanga
  4. Kikosi cha Yanga Vs KMC Leo 29 September 2024
  5. Kikosi cha Simba Sc vs Dodoma Jiji Leo 29/09/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo