Ratiba ya NBC Premier League Leo Mei 22, 2026

Ratiba ya NBC Premier League Leo Mei 22, 2026

Mbio za kumsaka bingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 zinaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa dimbani kupambania pointi tatu muhimu dhidi ya Singida BS katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa KMC Complex, DSM.

Ratiba ya NBC Premier League leo Mei 22, 2026 pia ina mchezo mwingine utakaowakutanisha Azam FC dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa Azam Complex, DSM.

Ratiba ya NBC Premier League Leo

MudaMechiMashindano/MsimuUwanja
4:00 pmYoung Africans vs Singida BSNBC Premier League 2025/2026, 2025/26KMC Complex, DSM
6:30 pmAzam FC vs Tanzania PrisonsNBC Premier League 2025/2026, 2025/26Azam Complex, DSM

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Simba vs Coastal Union Leo 21/05/2026
  2. Msimamo wa Ligi Kuu NBC Leo Mei 21, 2026
  3. Ratiba ya NBC Premier League Leo May 21, 2026
  4. Dewji Aweka Bilioni 1 Mezani Simba Ikibeba Mataji Mawili
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo