Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) kwa msimu wa 2024/2025 imekuwa na ushindani mkali, huku wachezaji mbalimbali wakionyesha uwezo wa hali ya juu katika kufumania nyavu. Katika makala hii, tunakuletea orodha ya wafungaji bora wa ligi hii kwa mujibu wa takwimu rasmi zilizopo hadi sasa. Wafuatao ni Wanaoongoza kwa ufungaji Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025.

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

NafasiMchezajiMabao
1Stumai Abdallah21
2Jentrix Shikangwa17
3Neema Paul12
4Winfrida Hubert7
5Asha Djafari5
6Elizabeth Wambui5
7Donisia Minja5
8Zainabu Mohamed5
9Amina Ramadhani5
10Margret Kunihira5

Wafungaji Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Samatta Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Februari PAOK
  2. Okwi Atangaza Kustaafu Soka La Kimataifa
  3. Yanga Princess Yaibuka na Ushindi wa 1-0 Dhidi ya Simba Queens
  4. Yanga Rasmi Yapeleka Kesi CAS Kupinga Msimamo wa Bodi ya Ligi
  5. Rachid Taoussi Aanza Hesabu za Msimu Ujao
  6. Safari ya Serengeti Girls Kufuzu Kombe la Dunia Yafika Tamati
  7. Ratiba Raundi ya Tano (16 Bora) CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
  8. Kikosi cha Taifa Star Kilichoitwa Kambini Kufuzu Kombe la Dunia
  9. Timu Zilizofuzu 16 Bora Kombe la Shirikisho la CRDB Federation Cup 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo