Wachezaji wa Soka U-21 Waliofanya Vizuri Msimu wa 2024/2025

Wachezaji wa Soka U-21 Waliofanya Vizuri Msimu wa 2024/2025

Kutoka kwenye ligi tano kubwa barani Ulaya, hawa ndio wachezaji vijana chini ya umri wa miaka 21 walioibuka na kung’ara zaidi msimu wa 2024/2025—na kuonyesha dalili zote za kuwa mastaa wa kiwango cha dunia katika miaka ijayo.

Ingawa ni nadra sana kumpata mchezaji wa kipekee kama Lionel Messi au Cristiano Ronaldo, bado vipaji vipya vinaendelea kuchomoza kila msimu, vikiwa na uwezo mkubwa wa kufikia mafanikio makubwa katika soka la kisasa. Katika makala hii, tumekuletea orodha ya vijana waliotamba zaidi duniani, tukizingatia vigezo vya mafanikio yao kwenye ngazi ya klabu au timu ya taifa pamoja na uwezo wao wa baadaye. Hawa ni vijana waliotia fora msimu huu na wanaotazamwa kwa jicho la matumaini na mashabiki wa kandanda kote duniani.

NafasiMchezajiTimuiUmri
1Lamine YamalBarcelona17
2Desire DoueParis Saint-Germain19
3Joao NevesParis Saint-Germain20
4Pau CubarsiBarcelona18
5EndrickReal Madrid18
6Arda GulerReal Madrid20
7Warren Zaire-EmeryParis Saint-Germain19
8Kenan YildizJuventus20
9GaviBarcelona20
10Myles Lewis-SkellyArsenal18
11Kobbie MainooManchester United20
12Dean HuijsenReal Madrid20
13Ethan NwaneriArsenal18
14Leny YoroManchester United19
15Alejandro GarnachoManchester United20
16Rico LewisManchester City20
17Kendry PaezIndependiente del Valle18

Wachezaji wa Soka U-21 Waliofanya Vizuri Msimu wa 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Siku ya Kuripoti Chuo cha Polisi Moshi 2025 kwa Vijana Waliochaguliwa
  2. Michezo ya Yanga Sc Iliobaki Msimu wa 2024/2025
  3. Wachezaji wa Yanga Walioitwa Kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa June 2025
  4. Kikosi cha Taifa Stars kilichoitwa kambini Kuelekea COSAFA na Mechi ya Kirafiki
  5. Dembélé Amechaguliwa Kuwa Mchezaji Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya 2024/25
  6. Wafungaji Bora Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo