Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Dunia 2026
Michuano ya Kombe la Dunia 2026 inaendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali, huku timu za mataifa mbalimbali zikipambana kutafuta tiketi za kufuzu hatua ya robo fainali. Michuano hiyo sasa imeingia katika hatua muhimu kuelekea kumpata bingwa, baada ya mechi za awali za mtoano kushuhudia mabao, matokeo yasiyotarajiwa na timu mbalimbali kuendelea na safari yao.
Hatua ya 16 bora bado inaendelea, huku nafasi za robo fainali zikianza kuamuliwa. Orodha ya timu zilizofuzu robo fainali Kombe la Dunia 2026 inaendelea kupata sura kadri mechi za hatua hiyo zinavyochezwa, pamoja na ratiba ya michezo inayofuata kuelekea hatua ya timu nane bora.

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Dunia 2026
- Morocco
Morocco ndiyo timu iliyothibitisha kufuzu hatua ya robo fainali hadi sasa.
Ratiba ya Mechi Zilizobaki Hatua ya 16 Bora
Mechi nyingine za hatua ya 16 bora zitaamua timu zitakazokamilisha orodha ya nane bora katika Kombe la Dunia 2026.
| Mechi | Mji | Tarehe na muda |
| Paraguay v France | Philadelphia | Julai 5, saa 7am AEST |
| Brazil v Norway | New York/New Jersey | Julai 6, saa 6am AEST |
| Mexico v England | Mexico City | Julai 6, saa 10am AEST |
| Spain v Portugal | Arlington | Julai 7, saa 5am AEST |
| Belgium v USA | Seattle | Julai 7, saa 10am AEST |
| Egypt v Argentina | Atlanta | Julai 8, saa 2am AEST |
| Switzerland v Colombia | Vancouver | Julai 8, saa 8am AEST |
Soma Pia:




```






Leave a Reply