Ratiba ya Kombe la Dunia Leo 01/07/2026

Ratiba ya Kombe la Dunia Leo 01/07/2026

Mbio za kuusaka ubingwa wa Kombe la Dunia leo 01 Julai 2026 zinaendelea na mechi za Raundi ya 32, hatua ya mtoano inayofuata baada ya kumalizika kwa hatua ya makundi.

Leo mashabiki wataweza kushuhudia michezo mitatu ya kukatana shoka baina ya timu kutoka mataifa mbalimbali: Mexico dhidi ya Ecuador, England dhidi ya DR Congo, na Belgium dhidi ya Senegal. Pia kuna matokeo ya mechi ambazo tayari zimechezwa katika Raundi ya 32, ikiwemo ushindi wa Canada dhidi ya South Africa, Brazil dhidi ya Japan, pamoja na mechi zilizoamuliwa kwa mikwaju ya penalti.

Ratiba ya Kombe la Dunia Leo 01/07/2026

Ratiba ya Mechi za Leo Kombe la Dunia 2026

MechiMuda
Mexico vs Ecuador5:00
England vs DR Congo19:00
Belgium vs Senegal23:00

Mechi hizi ni sehemu ya Raundi ya 32, hatua ambayo mshindi anaendelea na anayepoteza anaondoka kwenye mashindano.

Matokeo ya Leo Raundi ya 32

Mechi MatokeoTaarifa
France vs Sweden3-0FT, 30 June 2026
South Africa vs Canada0-1FT, Sun 28 Jun
Brazil vs Japan2-1FT, Mon 29 Jun
Germany vs Paraguay1-1Paraguay imeshinda kwa penalti 4-3
Netherlands vs Morocco1-1Morocco imeshinda kwa penalti 3-2
Côte d’Ivoire vs Norway1-2FT, Yesterday

Canada iliifunga South Africa bao 1-0, Brazil ikaishinda Japan 2-1, huku Paraguay na Morocco zikishinda mechi zao kwa mikwaju ya penalti baada ya sare za 1-1. Norway pia imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Côte d’Ivoire katika mchezo uliochezwa jana.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Kidato cha Sita 2026 Yanatarajiwa Kutangazwa Lini?
  2. Majina ya Wanafunzi na Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2026
  3. Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2026 Yatangazwa na TAMISEMI
  4. Tarehe ya Kuripoti Shule Kidato Cha Tano 2026
  5. Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026/2027
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo