Ratiba ya Mechi za Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026

Ratiba ya Mechi za Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026

Hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 itaanza Jumapili, 28 Juni, baada ya hatua ya makundi kufikia mwisho. Hii ndiyo hatua ya kwanza ya mtoano, ambako timu 32 kati ya 48 zitaendelea na mashindano.

Ratiba ya Mechi za Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026 ni muhimu kwa mashabiki wanaotaka kufuatilia timu zilizofuzu, mechi zilizothibitishwa, muda wa michezo na viwanja vitakavyotumika katika hatua hii.

Ratiba ya Mechi za Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026

Kombe la Dunia 2026 linashirikisha timu 48

Kombe la Dunia 2026 linafanyika Canada, Mexico na Marekani kuanzia 11 Juni hadi 19 Julai.

Katika timu 48 zinazoshiriki, ni timu 32 pekee ndizo zinaingia hatua ya mtoano. Hadi sasa, timu 19 tayari zimefuzu hatua inayofuata.

Mechi zilizothibitishwa hatua ya 32 bora

Mechi zilizothibitishwa mpaka sasa ni:

  • Canada vs South Africa
  • USA vs Bosnia and Herzegovina
  • Netherlands vs Morocco
  • Brazil vs Japan

Ratiba ya Mechi za Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026

TareheMechiMudaUwanjaNchi/Mji
Jumapili 28 JuniSouth Africa vs Canada12:00 local / 19:00 GMTLos Angeles StadiumUSA
Jumatatu 29 JuniBrazil vs Japan12:00 local / 17:00 GMTHouston StadiumUSA
Jumatatu 29 JuniGermany vs 3ABCDF16:30 local / 20:30 GMTBoston StadiumUSA
Jumatatu 29 JuniNetherlands vs Morocco19:00 local / 01:00 GMT+1Estadio MonterreyMexico
Jumanne 30 JuniCôte d’Ivoire vs 2I12:00 local / 17:00 GMTDallas StadiumUSA
Jumanne 30 Juni1I vs 3CDFGH17:00 local / 21:00 GMTNY/NY StadiumUSA
Jumanne 30 JuniMexico vs 3CEFHI19:00 local / 02:00 GMT+1Mexico City StadiumMexico
Jumatano 1 Julai1L vs 3EHIJK12:00 local / 16:00 GMTAtlanta StadiumUSA
Jumatano 1 Julai1G vs 3AEHIJ13:00 local / 20:00 GMTSeattle StadiumUSA
Jumatano 1 JulaiUnited States vs 3BEFIJ17:00 local / 00:00 GMT+1San Francisco Bay Area StadiumUSA
Alhamisi 2 Julai1H vs 2J12:00 local / 19:00 GMTLos Angeles StadiumUSA
Alhamisi 2 Julai2K vs 2L19:00 local / 23:00 GMTToronto StadiumCanada
Alhamisi 2 JulaiSwitzerland vs 3EFGIJ20:00 local / 03:00 GMT+1BC Place VancouverCanada
Ijumaa 3 JulaiAustralia vs 2G13:00 local / 18:00 GMTDallas StadiumUSA
Ijumaa 3 JulaiArgentina vs 2H18:00 local / 22:00 GMTMiami StadiumUSA
Ijumaa 3 Julai1K vs 3DEIJL20:30 local / 01:30 GMT+1Kansas City StadiumUSA

Timu zilizofuzu hatua ya mtoano

Timu 19 zilizojikatia tiketi ya kushiriki hatua ya mtoano hadi sasa ni:

  1. Colombia
  2. Argentina
  3. France
  4. Norway
  5. Germany
  6. USA
  7. Mexico
  8. Switzerland
  9. Canada
  10. Brazil
  11. Morocco
  12. South Africa
  13. Côte d’Ivoire
  14. Bosnia & Herzegovina
  15. Ecuador
  16. Netherlands
  17. Japan
  18. Sweden
  19. Australia

Baadhi ya nafasi bado hazijatajwa kwa majina ya timu

Ratiba ina mechi kadhaa ambazo bado zina nafasi zilizoandikwa kwa alama za makundi kama 3ABCDF, 2I, 1I, 1L, 3EHIJK, 3AEHIJ, 3BEFIJ, 2J, 2K, 2L, 3EFGIJ, 2G, 2H na 3DEIJL.

Hivyo, sehemu ya ratiba bado inasubiri kukamilika kwa majina ya timu zitakazoshika nafasi hizo baada ya hatua ya makundi.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Yanga vs Azam Leo 24/06/2026 Ligi Kuu
  2. Mtibwa Sugar vs Simba SC Leo 24/06/2026 Saa Ngapi? Ratiba, TV na Umuhimu wa Mechi
  3. Yanga vs Azam Leo 24/06/2026 Saa Ngapi? Ratiba, TV na Umuhimu wa Mechi
  4. Ratiba ya Mechi za Leo 24/06/2027 Ligi Kuu ya NBC
  5. Kikosi cha Yanga vs Azam Leo 21 Juni 2026: Nusu Fainali ya Kombe la CRDB Kirumba
  6. Kikosi cha Yanga VS Fountain Gate Leo 18/06/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo