Timu Zilizofuzu Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Timu Zilizofuzu Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 | Timu zitakazo shiriki CAF Champions League 2024/2025

Homa ya soka barani Afrika imezidi kupanda baada ya msimu wa kusisimua wa 2023/2024 wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) kumalizika kwa kishindo. Mabingwa watetezi, Al Ahly, walitwaa taji lao kwa ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Esperance, wakiweka historia kwa mara nyingine tena. Lakini burudani ya soka haisimami, na sasa macho na masikio ya wapenda soka kote barani Afrika yanaelekezwa kwenye msimu mpya wa 2024/2025, ambapo vita vya kuwania taji hilo vimeanza upya.

Tayari timu kadhaa zimepiga hatua kubwa katika ligi zao za ndani, zikijihakikishia tiketi ya kucheza katika uwanja mkubwa zaidi wa vilabu barani Afrika. Lakini kwa wengine, vita vya kufuzu bado vinaendelea, vikitoa drama na msisimko wa hali ya juu.

Msimu huu unakuja na mabadiliko makubwa, huku baadhi ya vigogo waliozoeleka kuonekana katika michuano ya klabu bingwa Afrika kama Simba SC wakikosa nafasi baada ya miaka minne mfululizo ya kushiriki. Je, ni akina nani wamefanikiwa kujihakikishia nafasi? Ni timu zipi zitaleta ushindani mkali zaidi? Na je, kuna mshangao wowote tunaoweza kutarajia?

Timu Zilizofuzu Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Hizi apa Timu Zilizofuzu Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

TimuNjia Ya Kufuzu
Al Ahly2023–24 CAF Champions League champions
Raja CA2023–24 Botola (champions or runners-up)
AS FAR2023–24 Botola (champions or runners-up)
MC Alger2023–24 Algerian Ligue Professionnelle 1 champions
Mamelodi Sundowns2023–24 South African Premier Division champions
Orlando Pirates2023–24 South African Premier Division runners-up
Young Africans2023–24 Tanzanian Premier League champions
Azam2023–24 Tanzanian Premier League runners-up
TP Mazembe2023–24 Linafoot champions
AS Maniema Union2023–24 Linafoot runners-up
Petro de Luanda2023–24 Girabola champions
Sagrada Esperança2023–24 Girabola runners-up
FC San Pedro2023–24 Côte d’Ivoire Ligue 1 champions
Djoliba FC2023–24 Malian Première Division champions
Victoria United FC2023–24 Elite One champions
FC Nouadhibou2023–24 Super D1 champions
Jwaneng Galaxy2023–24 Botswana Premier League champions
Red Arrows FC2023–24 Zambian Super League champions
Teungueth fc2023–24 Senegal Premier League champions
SC Villa2023–24 Uganda Premier League champions
Mbabane Swallows2023–24 Eswatini Premier League champions
Vital’O2023–24 Burundi Premier League champions
AS Arta/Solar72023–24 Djibouti Premier League champions
Gor Mahia2023–24 FKF Premier League champions
Lioli2023–24 Lesotho Premier League champions
Watanga2023–24 Liberian First Division champions
Nyasa Big Bullets2023–24 Super League of Malawi champions
African Stars2023–24 Namibia Premier Football League champions
APR2023–24 Rwanda Premier League champions

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. Timu zitakazo shiriki CECAFA kagame Cup 2024
  2. Zamalek Yashinda Kombe la Shirikisho CAF 2023/2024
  3. Simba SC Yasaka Kocha Mpya Mwenye Uzoefu wa CAF
  4. Muonekano wa Kombe La CRDB Federation Cup 2023/2024
  5. Timu zilizopanda Daraja Ligi Kuu ya England EPL 2024/2025
  6. Picha Za Parade ya Yanga SC Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24
  7. Matokeo na Ratiba ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo