Ratiba ya Mechi za AFCON Leo 23/12/2025

Ratiba ya Mechi za AFCON Leo 23/12/2025

Michuano ya AFCON 2025 inaendelea kushika kasi nchini Morocco, ambapo leo Desemba 23, 2025, macho ya mashabiki wa soka barani Afrika yanaelekezwa kwenye viwanja mbalimbali vinavyoshuhudia michezo minne muhimu.

Miongoni mwa mechi zinazosubiriwa kwa hamu kubwa ni ile ya Kundi C kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Nigeria, pambano linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na historia na ukubwa wa timu hizo.

Ratiba Kamili ya Mechi za AFCON Leo 23/12/2025

KundiMechiMuda wa Kucheza
Kundi CNigeria πŸ‡³πŸ‡¬ vs Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏSaa mbili na nusu usiku
Kundi CTunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ vs Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬Saa tano usiku
Kundi DDR Congo πŸ‡¨πŸ‡© vs Benin πŸ‡§πŸ‡―Saa 9:30 alasiri
Kundi DSenegal πŸ‡ΈπŸ‡³ vs Botswana πŸ‡§πŸ‡ΌSaa 12 jioni

Ratiba ya Mechi za AFCON Leo 23/12/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Bao la Dakika za Mwisho la Patson Daka Lainusuru Zambia Dhidi ya Mali, Mechi Ikiisha 1-1
  2. Msimamo wa Makundi AFCON 2025
  3. Haaland Aipiku Rekodi ya Magoli ya Cristiano Ronaldo EPL
  4. Bingwa wa AFCON 2025 Kubeba Zaidi ya Bilioni 24 za Kitanzania
  5. Chelsea Yanusurika Kupigika Nyumbani Kwa Newcastle United
  6. AFCON Kufanyika Kila Baada ya Miaka 4: Rais wa CAF Patrice Motsepe Atangaza Mabadiliko Makubwa
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo