Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo May 2 2026

Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo May 2 2026

Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 inaendelea leo Jumamosi, Mei 2, 2026, huku mashabiki wa soka nchini wakitarajia kushuhudia michezo miwili muhimu itakayochezwa katika viwanja tofauti. Ratiba ya leo inahusisha timu nne ambazo zote zinahitaji matokeo chanya katika hatua hii ya msimu.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa, michezo yote ya leo itarushwa moja kwa moja kupitia AzamSports1HD, ikitoa fursa kwa mashabiki kufuatilia kwa karibu matukio yote ya viwanjani.

Ratiba ya Michezo ya Ligi Kuu Ya NBC Leo

Katika mchezo wa kwanza wa siku, Mtibwa Sugar watakuwa nyumbani katika dimba la KMC Complex kuikaribisha Azam FC. Mchezo huu unatarajiwa kuanza majira ya saa 10:00 jioni.

Baadaye usiku, kutakuwa na pambano lingine ambapo Coastal Union watakuwa katika uwanja wa Mkwakwani, Tanga, wakiwakaribisha Singida BS. Mechi hii imepangwa kuanza saa 12:30 jioni.

Muhtasari wa Michezo ya Leo

Mtibwa Sugar vs Azam FC

  • Saa 10:00 jioni
  • Uwanja: KMC Complex

Coastal Union vs Singida BS

  • Saa 12:30 jioni
  • Uwanja: Mkwakwani, Tanga

Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo May 2 2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Mabingwa wa Kombe la Muungano Tangu 1982 Hadi Sasa
  2. Viingilio Mechi ya Simba VS Yanga 03/05/2026
  3. Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 29/04/2026 Fainali Kombe la Mapinduzi
  4. Wafungaji Bora Mapinduzi Cup 2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo