Ratiba ya Ligi Kuu Wanawake Tanzania (TWPL) 2025/2026

Ratiba ya Ligi Kuu Wanawake Tanzania (TWPL) 2025/2026

Pazia la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) msimu wa 2025/2026 linafunguliwa rasmi tarehe 8 Desemba 2025, kupitia mchezo kati ya JKT Queens na Bunda Queens utakaochezwa katika Uwanja wa Maj Gen Isamuhyo kuanzia saa 10:00 jioni.

Huu ndio mwanzo wa safari ndefu ya timu 12 zinazowania ubingwa wa ligi hiyo ya wanawake, ikiwa ni sehemu ya kalenda ya mashindano ya TFF kwa upande wa soka la wanawake nchini. Msimu huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ratiba iliyojumuisha michezo kuanzia Desemba 2025 hadi Mei 2026, ikiwa na mechi za mzunguko wa nyumbani na ugenini. Ratiba rasmi imetolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikionesha tarehe, viwanja na muda wa kila pambano.

Ratiba ya Ligi Kuu ya Wanawake 2025/2026 – Mzunguko wa Awali (Desemba 2025)

Mzunguko wa kwanza utaanza tarehe 08/12/2025 na michezo mingine kuendelea tarehe 14/11/2025 hadi 19/11/2025, ikiwa na mechi kama:

  • Geita Queens vs Ceasia Queens – Uwanja wa Nyankumbu
  • Simba Queens vs Bilo Queens – KMC
  • Alliance Girls vs Fountain Gate Princess – Nyangamana
  • Ruangwa Queens vs Yanga Princess – Majaliwa
  • Tausi FC vs Mashujaa Queens – KMC

Katika mzunguko wa pili (12–19 Desemba 2025), timu kama Fountain Gate Princess, JKT Queens, Geita Queens, Ruangwa Queens, Alliance Girls, Simba Queens zitashuka dimbani kuendeleza msururu wa michezo ya mwanzo.

Ratiba ya Ligi Kuu Wanawake Tanzania (TWPL) 2025/2026

ROUND I – 08/12/2025

DateHome TeamAway TeamVenueTime
08/12/2025JKT QueensBunda QueensMaj Gen Isamuhyo04:00 pm

ROUND II – 14/11/2025 – 19/11/2025

DateHome TeamAway TeamVenueTime
14/11/2025Geita QueensCeasia QueensNyankumbu04:00 pm
14/11/2025Simba QueensBilo QueensKMC04:00 pm
14/11/2025Alliance GirlsFountain Gate PrincessNyamagana04:00 pm
15/11/2025Ruangwa QueensYanga PrincessMajaliwa04:00 pm
19/11/2025Tausi FCMashujaa QueensKMC04:00 pm

ROUND III – 12/12/2025 – 19/12/2025

DateHome TeamAway TeamVenueTime
12/12/2025Tausi FCYanga PrincessKMC04:00 pm
12/12/2025JKT QueensBilo FCMaj Gen Isamuhyo04:00 pm
12/12/2025Geita QueensMashujaa QueensMajaliwa04:00 pm
15/12/2025Ruangwa QueensCeasia QueensNyamagana04:00 pm
19/12/2025Simba QueensBunda QueensKMC04:00 pm

ROUND IV – 17/12/2025 – 21/12/2025

DateHome TeamAway TeamVenueTime
17/12/2025Ceasia QueensJKT QueensSamora04:00 pm
17/12/2025Yanga PrincessAlliance GirlsAzam Complex04:00 pm
17/12/2025Mashujaa QueensGeita QueensNyankumbu04:00 pm
18/12/2025Bunda QueensRuangwa QueensKarume04:00 pm
18/12/2025Tausi FCBilo FCCCM Kirumba04:00 pm
21/12/2025Fountain Gate PrincessSimba QueensTanzanite Kwaraa04:00 pm

ROUND V – 27/12/2025 – 28/12/2025

DateHome TeamAway TeamVenueTime
27/12/2025Geita QueensRuangwa QueensNyankumbu04:00 pm
27/12/2025Tausi FCAlliance GirlsKMC04:00 pm
27/12/2025Bunda QueensCeasia QueensKarume04:00 pm
27/12/2025Bilo FCMashujaa QueensCCM Kirumba04:00 pm
28/12/2025JKT QueensGeita QueensMaj Gen Isamuhyo04:00 pm
28/12/2025Yanga PrincessSimba QueensAzam Complex04:00 pm

ROUND VI – 02/01/2026 – 08/01/2026

DateHome TeamAway TeamVenueTime
02/01/2026Ruangwa QueensSimba QueensMajaliwa04:00 pm
02/01/2026Mashujaa QueensBunda QueensSamora04:00 pm
03/01/2026Alliance GirlsFountain Gate PrincessNyamagana04:00 pm
03/01/2026Ceasia QueensGeita QueensSamora04:00 pm
03/01/2026Geita QueensBilo FCNyankumbu04:00 pm
08/01/2026Simba QueensTausi FCKMC04:00 pm

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Mikoa Yote (NECTA PSLE Results)
  2. Droo ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2025/2026
  3. Yanga Yaangukia Kundi B na Al Ahly Droo ya Makundi Klabu Bingwa 2025/2026
  4. Msimamo Kundi la Yanga Klabu Bingwa 2025/2026
  5. Msimamo Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025/2026
  6. Droo ya Makundi Klabu Bingwa Afrika 2025/2026
  7. Timu Zilizofuzu Makundi Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo