CFFA vs Yanga Leo 17/10/2026 Saa Ngapi?

CFFA vs Yanga Leo 17/10/2026 Saa Ngapi?

Timu ya wananchi Yanga Sc leo itakua ugenini katika kibarua cha kupeperusha bendera ya Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Arika CAF ambapo watachuana vikali na CFFA Andoharanofotsy  ya Madagascar katika mechi ya kwanza raundi ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika itakayotimua vumbi katika viunga vya dimba la Azam Complex.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:00 alasiri na kuruka LIVE kupitia AzamSports1HD.

CFFA vs Yanga Leo 17/10/2026 Saa Ngapi?

Soma Pia:

  1. Matokeo ya Simba vs Yanga SC Leo 10/10/2026
  2. Hiki Apa Kikosi cha Yanga vs Simba Leo 10/10/2026, Mngqithi Ataja Wachezaji 11 wa Kuanza
  3. Kikosi cha simba vs yanga leo 10/10/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo