Cv ya Awesu Ali Awesu Kiungo Mpya Simba 2024/2025

Cv ya Awesu Ali Awesu Kiungo Mpya Simba 2024/2025 | Usajili wa Awesu Ali Awesu Simba Sc

Klabu ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya Kiungo mshambuliaji Awesu Ali Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Awesu amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na KMC aliyodumu nayo kwa miaka mitatu. Awesu ni mchezaji mzoefu kwenye Ligi Kuu ya NBC na anaweza kumudu nafasi ya kiungo wa ushambuliaji na winga zote ingawa pia amewahi kutumika kama kiungo mkabaji. Mbali na KMC, Awesu amewahi kutimikia timu za Kagera Sugar, Azam FC na Mwadui FC kwa nyakati tofauti.

Cv ya Awesu Ali Awesu Kiungo Mpya Simba 2024/2025

Kipengele Tarifa
Jina Awesu Ally Awesu
Nafasi Kiungo Mshambuliaji (AM)
Umri 27
Tarehe ya Kuzaliwa 1997-04-10
Urefu 1.66m
Uraia Zanzibar
Klabu ya Sasa Simba SC

Cv ya Awesu Ali Awesu Kiungo Mpya Simba 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Cv ya Karaboue Chamou Beki Mpya Wa Simba 2024/2025
  2. Cv Ya Joshua Mutale Mchezaji wa Simba
  3. CV ya Valentin Nouma: Sifa Zote za Beki Mpya Simba 2024/2025
  4. CV ya Fadlu Davids: Kocha Mpya wa Simba SC (2024/2025)
  5. Cv YA Boka Chadrak Beki Mpya Wa Yanga 2024/2025
  6. Hii apa CV ya Omary Abdallah Kiungo Mpya Wa Simba 2024/2025
  7. Cv ya Valentino Mashaka Mshambuliaji Mpya wa Simba Sc 2024

 

Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo