CFFA vs Yanga Leo 17/10/2026 Saa Ngapi?
Timu ya wananchi Yanga Sc leo itakua ugenini katika kibarua cha kupeperusha bendera ya Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Arika CAF ambapo watachuana vikali na CFFA Andoharanofotsy ya Madagascar katika mechi ya kwanza raundi ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika itakayotimua vumbi katika viunga vya dimba la Azam Complex.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:00 alasiri na kuruka LIVE kupitia AzamSports1HD.

Soma Pia:




```






Leave a Reply