Ratiba ya Kombe la Dunia Leo 01/07/2026
Mbio za kuusaka ubingwa wa Kombe la Dunia leo 01 Julai 2026 zinaendelea na mechi za Raundi ya 32, hatua ya mtoano inayofuata baada ya kumalizika kwa hatua ya makundi.
Leo mashabiki wataweza kushuhudia michezo mitatu ya kukatana shoka baina ya timu kutoka mataifa mbalimbali: Mexico dhidi ya Ecuador, England dhidi ya DR Congo, na Belgium dhidi ya Senegal. Pia kuna matokeo ya mechi ambazo tayari zimechezwa katika Raundi ya 32, ikiwemo ushindi wa Canada dhidi ya South Africa, Brazil dhidi ya Japan, pamoja na mechi zilizoamuliwa kwa mikwaju ya penalti.

Ratiba ya Mechi za Leo Kombe la Dunia 2026
| Mechi | Muda |
| Mexico vs Ecuador | 5:00 |
| England vs DR Congo | 19:00 |
| Belgium vs Senegal | 23:00 |
Mechi hizi ni sehemu ya Raundi ya 32, hatua ambayo mshindi anaendelea na anayepoteza anaondoka kwenye mashindano.
Matokeo ya Leo Raundi ya 32
| Mechi | Matokeo | Taarifa |
| France vs Sweden | 3-0 | FT, 30 June 2026 |
| South Africa vs Canada | 0-1 | FT, Sun 28 Jun |
| Brazil vs Japan | 2-1 | FT, Mon 29 Jun |
| Germany vs Paraguay | 1-1 | Paraguay imeshinda kwa penalti 4-3 |
| Netherlands vs Morocco | 1-1 | Morocco imeshinda kwa penalti 3-2 |
| Côte d’Ivoire vs Norway | 1-2 | FT, Yesterday |
Canada iliifunga South Africa bao 1-0, Brazil ikaishinda Japan 2-1, huku Paraguay na Morocco zikishinda mechi zao kwa mikwaju ya penalti baada ya sare za 1-1. Norway pia imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Côte d’Ivoire katika mchezo uliochezwa jana.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Matokeo ya Kidato cha Sita 2026 Yanatarajiwa Kutangazwa Lini?
- Majina ya Wanafunzi na Shule Walizopangiwa Kidato cha Tano 2026
- Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2026 Yatangazwa na TAMISEMI
- Tarehe ya Kuripoti Shule Kidato Cha Tano 2026
- Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026/2027




```





Leave a Reply