Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2024/2025

Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2024/2025 | Vinara wa Magoli Ligi Kuu Ya England 2024/25

Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea kuwa moja ya ligi maarufu zaidi duniani, ikikusanya wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu na mashabiki kutoka kila kona ya ulimwengu. Msimu wa 2024/2025 unapoendelea kushika kasi, orodha ya wafungaji bora inazidi kubadilika huku wachezaji kutoka timu mbalimbali wakiendelea kuonyesha uwezo wa wao wa hali ya juu katika kutikisa nyavu. Hapa Habariforum tumekuletea taarifa kamili kuhusu mbio za Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2024/2025.

Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2024/2025

Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2024/2025

 NafasiJina la MchezajiTimuMagoli
1Mohamed SalahLiverpool27
2Erling HaalandManchester City21
3Alexander IsakNewcastle United20
4Chris WoodNottingham Forest18
5Bryan MbeumoBrentford16
6Yoane WissaBrentford14
Cole PalmerChelsea14
8Matheus CunhaWolverhampton Wanderers13
Ollie WatkinsAston Villa13
Jean-Philippe MatetaCrystal Palace13
11Justin KluivertBournemouth12
Liam DelapIpswich Town12
13Jørgen Strand LarsenWolverhampton Wanderers11
14Raúl JiménezFulham10
15James MaddisonTottenham Hotspur9
 EvanilsonBournemouth9
Brennan JohnsonTottenham Hotspur9
Nicolas JacksonChelsea9
Kai HavertzArsenal9
Luis DíazLiverpool9
21Cody GakpoLiverpool8
Danny WelbeckBrighton & Hove Albion8
João PedroBrighton & Hove Albion8
Jarrod BowenWest Ham United8
Bruno FernandesManchester United8
Morgan RogersAston Villa8
27Jhon DuránAston Villa7
Rodrigo MunizFulham7
Noni MaduekeChelsea7
Phil FodenManchester City7
Kevin SchadeBrentford7
Dango OuattaraBournemouth7
Dominic SolankeTottenham Hotspur7
Heung-min SonTottenham Hotspur7
Iliman NdiayeEverton7
Ismaïla SarrCrystal Palace7
Tomáš SoucekWest Ham United7
Dejan KulusevskiTottenham Hotspur7
Jamie VardyLeicester City7
Alex IwobiFulham7
Kaoru MitomaBrighton & Hove Albion7
Antoine SemenyoBournemouth7
43 Diogo JotaLiverpool6
 BetoEverton6
Mikel MerinoArsenal6
Bukayo SakaArsenal6
Amad DialloManchester United6
Gabriel MartinelliArsenal6
Anthony ElangaNottingham Forest6
Anthony GordonNewcastle United6

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025
  2. Wafungaji Bora EURO 2024: Hawa Ndio Vinara Wa Magoli\
  3. Clement Mzize: Mfungaji Bora Kombe la Shirikisho la CRDB Bank 2024
  4. Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2023/24
  5. Vinara wa Assist Ligi Kuu NBC 2023/24: Wafalme wa Pasi za Mwisho Tanzania
  6. Orodha Ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo