Orodha Ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024

Hawa Ndio Wafungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024 | Wachezaji wanaoongoza kwa magoli NBC Premier league | Vinara Wa Magoli ligi ya NBC Tanzania 2023-24

Katika ulimwengu wa soka nchini Tanzania, Ligi Kuu Tanzania bara almaharufu kama NBC premier league (Ligi Kuu Ya NBC) ni mashindano makubwa zaidi yanayoshirikisha timu 16 kutoka mikoa mbalimbali ambazo zinapambana kumaliza msimu na pointi nyingi ili kuibuka bingwa wa kombe la ligi kuu. Wakati mshindi wa Ligi kuu ya NBC 2023/2024 akiwa ameshafahamika (Yanga Sc) sasa macho mengi ya mashabiki wa soka nchini Tanzania yamehamia katika mbio za kumtafuta mfungaji bora.

Je, ni nani anayewania Kiatu cha Dhahabu cha NBC Premier League 2023/2024? Habariforum.com inakuletea orodha kamili ya wafungaji bora wa ligi kuu ya NBC Tanzania, takwimu zao, na uchambuzi wa kina kuhusu vita hii ya mabao.

Orodha Ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024

Orodha Ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024

NafasiJina La MchezajiMagoliTimuNafasi
1Feisal Salum15AzamMidfielder
2Ki Stephane Aziz15Young AfricansMidfielder
3Waziri Shentembo12KMCForward
4Max Nzengeli9Young AfricansMidfielder
5Marouf Tchakei9IhefuMidfielder
6Mudathir Yahya9Young AfricansMidfielder
7Jean Baleke8SimbaForward
8Kipre Junior8AzamMidfielder
9Samson Mbangula8Tanzania PrisonsForward
10Adam Adam7MashujaaForward
11Saidi Ntibazonkiza7SimbaMidfielder
12Clatous Chama7SimbaMidfielder
13Gibril Sillah7AzamMidfielder
14Prince Dube7AzamForward
15Pacome Zouzoua7Young AfricansMidfielder
16Eric Okutu7Tabora UTDMidfielder
17Valentino Mashaka6Geita GoldForward
18Pius Buswita5NamungoMidfielder
19Obrey Chirwa5Kagera SugarForward
20Habib Kyombo5Singida FGForward
21Joseph Guede5Young AfricansForward
22Freddy Koublan5SimbaForward
23Seif Karihe5Mtibwa SugarMidfielder
24Clement Mzize5Young AfricansForward
25Elvis Rupia5IhefuForward
26Kanoute Sadio4SimbaMidfielder
27Duke Abuya4IhefuForward
28Charles Ilamfia4Mtibwa SugarForward
29Moubarack Amza4Kagera SugarForward
30Najim Maguru4JKT TanzaniaForward
31John Nakibinge4Tabora UTDForward
32Hassan Mwaterema4Dodoma JijiMidfielder
33Daniel Lyanga4JKT TanzaniaForward
34Darueshi Saliboko4KMCForward
35Iddy Selemani4AzamMidfielder
36Kennedy Musonda4Young AfricansForward
37Zabona Mayombya4Tanzania PrisonsForward
38Matheo Antony4JKT TanzaniaForward
39Edwin Balua4SimbaMidfielder
40Semfuko Daudi4Coastal UnionMidfielder
41Tariq Kiakala4Geita GoldForward
42Reliant Lusajo4MashujaaForward
43Ngoma Fabrice3SimbaMidfielder
44Essomba Onana3SimbaForward
45Ismail Mgunda3IhefuForward
46Lucas Kikoti3Coastal UnionMidfielder
47Maabad Maulid3Coastal UnionForward
48Edward Songo3JKT TanzaniaForward
49Jeremiah Juma3Tanzania PrisonsForward
50Sospeter Bajana3AzamMidfielder
  • Imesasishwa Mwisho: Mei 16, 2024

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. List Ya Wachezaji Wenye Magoli Mengi Duniani
  2. Idadi Ya Magoli ya Ronaldo Al Nassr 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo