Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu Zao za Taifa 2024

Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu Zao za Taifa 2024

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wanazidi kuonyesha ubora wao ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Hii imethibitishwa na wachezaji wao kadhaa walioitwa kujiunga na timu zao za taifa kwa ajili ya mashindano ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Wachezaji hawa wanajumuisha vipaji kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika, wakionyesha nguvu ya kimataifa iliyopo ndani ya klabu ya Yanga. Hapa habari forum tumekuletea orodha ya wachezaji wote wa Yanga walioitwa kwenye timu za Taifa.

Jina la MchezajiNchi
Djigui DiarraMali
Khalid AuchoUganda
Clatous ChamaZambia
Kennedy MusondaZambia
Prince DubeZimbabwe
Duke AbuyaKenya
Clement MzizeTanzania
Ibrahim BaccaTanzania
Dickson JobTanzania
Bakari MwamnyetoTanzania
Mudathir YahyaTanzania
Kibwana ShomariTanzania
Farid MsheryTanzania
Aziz KiBurkina Faso

Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu Zao za Taifa 2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kikosi cha Yanga Vs Kagera Sugar Leo 29/08/2024
  2. Gamondi Apania Ubingwa: Atamba Kuanza Ligi Kibabe
  3. Matokeo KMC vs Coastal Union Leo 29/08/2024
  4. Viingilio Mechi ya Kirafiki Simba Vs Al Hilal 31/08/2024
  5. Viingilio Mechi ya Kagera Sugar Vs Yanga Leo 29/08/2024
  6. Matokeo Kagera Sugar Vs Yanga Leo 29/08/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo