Singida BS VS Flambeau Leo 25/10/2025 Saa Ngapi?
LEO, Singida BS watakuwa dimba la Azam Complex wakirudiana na Flambeau ya Burundi. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
Katika mechi ya mkondo wa kwanza timu hizi zilitoka sare ya 1 – 1.

Mapendekezo ya Mhariri:






Leave a Reply