Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo 06/05/2026

Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo 06/05/2026: KMC FC vs Yanga, Simba SC vs JKT

Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/26 inaendelea leo Jumatano, Mei 6, 2026, kwa michezo mitatu itakayozikutanisha timu sita. KMC FC itacheza dhidi ya Young Africans saa 10:00 jioni, Mtibwa Sugar itakutana na Dodoma Jiji muda huo huo, huku Simba SC ikitarajiwa kucheza na JKT Tanzania saa 12:15 jioni.

Michezo hiyo ni sehemu ya ratiba ya NBC Premier League kwa msimu wa 2025/26, ambapo kila timu itakuwa ikihitaji kupata matokeo chanya katika mechi yake ya leo ili kuendeleza mbia zao za kulisaka kombe la ligi kuu. Ratiba ya siku inaonyesha michezo miwili itaanza saa 10:00 jioni, kabla ya mchezo wa Simba SC dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa saa 12:15 jioni.

Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo 06/05/2026

Ratiba ya Ligi Kuu Ya NBC Leo 06/05/2026

Kwa leo Mei 6, 2026, michezo mitatu ya NBC Premier League imepangwa kuchezwa katika nyakati mbili tofauti. Young Africans, Simba SC, KMC FC, Mtibwa Sugar, Dodoma Jiji na JKT Tanzania ndizo timu zitakazokuwa uwanjani.

MudaMechiMashindanoMsimu
4:00 pmKMC FC vs Young AfricansNBC Premier League2025/26
4:00 pmMtibwa Sugar vs Dodoma JijiNBC Premier League2025/26
6:15 pmSimba SC vs JKT TanzaniaNBC Premier League2025/26

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Fei Toto Afikisha Mabao 9 Ligi Kuu Bara, Awapiku Prince Dube na Fabrice Ngoy
  2. Mgunda Akiri Kupitia Wakati Mgumu Namungo Baada ya Mechi 10 Bila Ushindi
  3. Chama Aibuka Nyota wa Mchezo Baada ya Bao na Assist Dhidi ya Yanga SC
  4. Dabi ya Kariakoo Yamalizika Kwa Sare ya 2-2 Uwanja wa Meja Isamuhyo
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo