Orodha Ya Mabingwa Wa UEFA Champions League

Orodha Ya Mabingwa Wa UEFA Champions League | Timu zilizoshinda kombe la klabubingwa Ulaya

Kama wewe ni shabiki wa mpira wa miguu basi Mashindano ya UEFA ni miongoni mwa mashindano ambayo hayahitaji utambulisho katika masikio yako. Michuano hii imekua ikisemekana kua ndio mashindano ya soka yanayofuatiliwa zaidi Duniani baada ya Kombe la dunia ambalo hufanyika mara moja kila baada ya miaka minne. Tofauti na Kombe la Dunia, Mashindano ya UEFA hufanyika kila mwaka na mashabiki wa soka Duniani wanashuhudia timu zao pendwa zikipigania kushinda kombe hili lenye heshima zaidi barani Ulaya.

Katika chapisho hili la kipekee, HabariForum.com imekusanya orodha ya mabingwa wa UEFA Champions League pamoja na matokeo ya fainali za kusisimua ambazo zimeamua bingwa wa kombe hili kwa msimu uliopita. Jiunge nasi kufahamu safari ya mafanikio ya timu bora zaidi katika ulimwengu wa soka Barani Ulaya.

Orodha Ya Mabingwa Wa UEFA Champions League

Orodha Ya Mabingwa Wa UEFA Champions League

MsimuBingwaMshindi wa PiliMatokeo Fainali
2022-23Manchester CityInter Milan1-0
2021-22Real MadridLiverpool1-0
2020-21ChelseaManchester City1–0
2019-20Bayern MunichParis Saint-Germain1-0
2018-19LiverpoolTottenham Hotspur2-0
2017-18Real MadridLiverpool3-1
2016-17Real MadridJuventus4-1
2015-16Real MadridAtlético Madrid1-1 (5–3)
2014-15BarcelonaJuventus3-1
2013-14Real MadridAtlético Madrid4-1
2012-13Bayern MunichBorussia Dortmund2-1
2011-12ChelseaBayern Munich1-1 (4–3)
2010-11BarcelonaManchester United3-1
2009-10Inter MilanBayern Munich2-0
2008-09BarcelonaManchester United2-0
2007-08Manchester UnitedChelsea1-1 (6–5)
2006-07MilanLiverpool2-1
2005-06BarcelonaArsenal2-1
2004-05LiverpoolMilan3-3
2003-04PortoMonaco3-0
2002-03MilanJuventus0-0
2001-02Real MadridBayer Leverkusen2-1
2000-01Bayern MunichValencia1-1
1999-2000Real MadridValencia3-0
1998-99Manchester UnitedBayern Munich2-1
1997-98Real MadridJuventus1-0
1996-97Borussia DortmundJuventus3-1
1995-96JuventusAjax1-1
1994-95AjaxMilan1-0
1993-94MilanBarcelona4-0
1992-93MarseilleMilan1-0
1991-92BarcelonaSampdoria1-0
1990-91Red Star BelgradeMarseille0-0*
1989-90MilanBenfica1-0
1988-89MilanSteaua Bucureşti4-0
1987-88PSVBenfica0-0
1986-87PortoBayern Munich2-1
1985-86Steaua BucureştiBarcelona0-0
1984-85JuventusLiverpool1-0
1983-84LiverpoolRoma1-1
1982-83HamburgJuventus1-0
1981-82Aston VillaBayern Munich1-0
1980-81LiverpoolReal Madrid1-0
1979-80Nottingham ForestHamburg1-0
1978-79Nottingham ForestMalmö FF1-0
1977-78LiverpoolClub Brugge1-0
1976-77LiverpoolBorussia Mönchengladbach3-1
1975-76Bayern MunichSaint-Etienne1-0
1974-75Bayern MunichLeeds United2-0
1973-74Bayern MunichAtlético Madrid1-1
1973-74 ReplayBayern MunichAtlético Madrid4-0
1972-73AjaxJuventus1-0
1971-72AjaxInter Milan2-0
1970-71AjaxPanathinaikos2-0
1969-70FeyenoordCeltic2-
1968-69MilanAjax4-1
1967-68Manchester UnitedBenfica4-1
1966-67CelticInter Milan2-1
1965-66Real MadridPartizan2-1
1964-65Inter MilanBenfica1-0
1963-64Inter MilanReal Madrid3-1
1962-63MilanBenfica2-1
1961-62BenficaReal Madrid5-3
1960-61BenficaBarcelona3-2
1959-60Real MadridEintracht Frankfurt7-3
1958-59Real MadridStade de Reims2-0
1957-58Real MadridMilan3-2
1956-57Real MadridFiorentina2-0
1955-56Real MadridStade de Reims4-3

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. Timu Yenye Makombe Mengi ya UEFA Champions League
  2. Timu Yenye Makombe Mengi ya Ligi Kuu England (2024)
  3. Orodha Ya Washindi Wa Ligi Kuu Ya Uingereza Miaka Yote
  4. Kylian Mbappé Atangaza Kuondoka PSG Huku Kukiwa na Tetesi za Kujiunga Real Madrid
  5. Makocha wanaowania Tuzo ya Meneja Bora wa Mwaka 2023/2024 Ligi Kuu ya Uingereza
  6. Orodha ya Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Kijana EPL 2023/2024
  7. Fainali Ya Klabu Bingwa Afrika 2024: Timu, Tarehe, Na Mahali
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo