Orodha Ya Washindi Wa Ligi Kuu Ya Uingereza Miaka Yote

Orodha Ya Washindi Wa Ligi Kuu Ya Uingereza EPL Miaka Yote | Hawa Ndio Mabingwa Wa Ligi Kuu Ya EPL

Ligi Kuu ya Uingereza (Ligi Ya EPL), ambayo mara nyingi imekua ikitajwa kuwa ligi ya soka yenye ushindani na kuvutia zaidi duniani, imeshuhudia matukio mengi ya ushindi, masikitiko, na matukio yasiyosahaulika tangu kuanzishwa kwake mwaka wa 1992.

Ligi Kuu ya Uingereza imeibuka kutokana na mageuzi makubwa katika mfumo wa soka nchini Uingereza, na haikuchukua muda mrefu kabla ya kuwa maarufu sana, ikivutia mashabiki kutoka pembe zote za dunia kwa mchezo wake wenye kasi, ushindani wa kutamanika, na talanta za wachezaji wa kiwango cha juu kabisa. Ushawishi wa ligi hii ume enea mbali zaidi ya mipaka ya Uingereza, ukiwavutia wachezaji na mameneja wakubwa kutoka kila pande ya dunia, na kuifanya kuwa mahali pa kukutana kwa tamaduni tofauti za soka.

Kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza ni ishara ya juu kabisa ya mafanikio kwa klabu yoyote nchini Uingereza, ukidhihirisha ubora wa pekee wa klabu katika msimu, juhudi za pamoja, na kujitoa kw ahali ya juu. Vilabu vingi vimekuwa vikisaka ubingwa huu si tu kwa sababu ya umaarufu wa mchezo, bali pia kwa zawadi kubwa kifedha, hadhi ya kimataifa, na urithi wa kudumu katika historia ya soka.

Hapa tumekuletea mabingwa wa ligikuu ya Uingereza tangu enzi za miaka ya 80, tukikuletea washindi wote waliobeba ubingwa pamoja na timu ilioshika nafasi ya pili.

Orodha Ya Washindi Wa Ligi Kuu Ya Uingereza Miaka Yote

Orodha Ya Washindi Wa Ligi Kuu Ya Uingereza | Mabingwa Wa Ligi Kuu Ya EPL

MsimuMshindi Wa LigiMshindi Wa Pili
2023-2024Bado Mshindi hajajulikana
2022-23Manchester CityArsenal
2021-22Manchester CityLiverpool
2020-21Manchester CityManchester United
2019-20LiverpoolManchester City
2018-19Manchester CityLiverpool
2017-18Manchester CityManchester United
2016-17ChelseaTottenham Hotspur
2015-16Leicester CityArsenal
2014-15ChelseaManchester City
2013-14Manchester CityLiverpool
2012-13Manchester UnitedManchester City
2011-12Manchester CityManchester United
2010-11Manchester UnitedChelsea
2009-10ChelseaManchester United
2008-09Manchester UnitedLiverpool
2007-08Manchester UnitedChelsea
2006-07Manchester UnitedChelsea
2005-06ChelseaManchester United
2004-05ChelseaArsenal
2003-04ArsenalChelsea
2002-03Manchester UnitedArsenal
2001-02ArsenalLiverpool
2000-01Manchester UnitedArsenal
1999-00Manchester UnitedArsenal
1998-99Manchester UnitedArsenal
1997-98ArsenalManchester United
1996-97Manchester UnitedNewcastle United
1995-96Manchester UnitedNewcastle United
1994-95Blackburn RoversManchester United
1993-94Manchester UnitedBlackburn Rovers
1992-93Manchester UnitedAston Villa
1991-92Leeds UnitedManchester United
1990-91ArsenalLiverpool
1989-90LiverpoolAston Villa
1988-89ArsenalLiverpool
1987-88LiverpoolManchester United
1986-87EvertonLiverpool
1985-86LiverpoolEverton
1984-85EvertonLiverpool
1983-84LiverpoolSouthampton
1982-83LiverpoolWatford
1981-82LiverpoolIpswich Town
1980-81Aston VillaIpswich Town
1979-80LiverpoolManchester United
1978-79LiverpoolNottingham Forest
1977-78Nottingham ForestLiverpool
1976-77LiverpoolManchester City
1975-76LiverpoolQueens Park Rangers
1974-75Derby CountyLiverpool
1973-74Leeds UnitedLiverpool
1972-73LiverpoolArsenal
1971-72Derby CountyLeeds United
1970-71ArsenalLeeds United
1969-70EvertonLeeds United
1968-69Leeds UnitedLiverpool
1967-68Manchester CityManchester United
1966-67Manchester UnitedNottingham Forest
1965-66LiverpoolLeeds United
1964-65Manchester UnitedLeeds United
1963-64LiverpoolManchester United
1962-63EvertonTottenham Hotspur
1961-62Ipswich TownBurnley
1960-61Tottenham HotspurSheffield Wednesday
1959-60BurnleyWolverhampton Wanderers
1958-59Wolverhampton WanderersManchester United
1957-58Wolverhampton WanderersPreston North End
1956-57Manchester UnitedTottenham Hotspur
1955-56Manchester UnitedBlackpool
1954-55ChelseaWolverhampton Wanderers
1953-54Wolverhampton WanderersWest Bromwich Albion
1952-53ArsenalPreston North End
1951-52Manchester UnitedTottenham Hotspur
1950-51Tottenham HotspurManchester United
1949-50PortsmouthWolverhampton Wanderers
1948-49PortsmouthManchester United
1947-48ArsenalManchester United
1946-47LiverpoolManchester United
1945-46Ligi Haikuchezeka Sababu ya Vita ya pili ya Dunia
1944-45Ligi Haikuchezeka Sababu ya Vita ya pili ya Dunia
1943-44Ligi Haikuchezeka Sababu ya Vita ya pili ya Dunia
1942-43Ligi Haikuchezeka Sababu ya Vita ya pili ya Dunia
1941-42Ligi Haikuchezeka Sababu ya Vita ya pili ya Dunia
1940-41Ligi Haikuchezeka Sababu ya Vita ya pili ya Dunia
1939-40Ligi Haikuchezeka Sababu ya Vita ya pili ya Dunia
1938-39EvertonWolverhampton Wanderers
1937-38ArsenalWolverhampton Wanderers
1936-37Manchester CityCharlton Athletic
1935-36SunderlandDerby County
1934-35ArsenalSunderland
1933-34ArsenalHuddersfield Town
1932-33ArsenalAston Villa
1931-32EvertonArsenal
1930-31ArsenalAston Villa
1929-30Sheffield WednesdayDerby County
1928-29Sheffield WednesdayLeicester City
1927-28EvertonHuddersfield Town
1926-27Newcastle UnitedHuddersfield Town
1925-26Huddersfield TownArsenal
1924-25Huddersfield TownWest Bromwich Albion
1923-24Huddersfield TownCardiff City
1922-23LiverpoolSunderland
1921-22LiverpoolTottenham Hotspur
1920-21BurnleyManchester City
1919-20West Bromwich AlbionBurnley
1915-19Ligi Haikuchezeka Sababu ya Vita ya kwanza ya Dunia
1914-15EvertonOldham Athletic
1913-14Blackburn RoversAston Villa
1912-13SunderlandAston Villa
1911-12Blackburn RoversEverton
1910-11Manchester UnitedAston Villa
1909-10Aston VillaLiverpool
1908-09Newcastle UnitedEverton
1907-08Manchester UnitedAston Villa
1906-07Newcastle UnitedBristol City
1905-06LiverpoolPreston North End
1904-05Newcastle UnitedEverton
1903-04The WednesdayManchester City
1902-03The WednesdayAston Villa
1901-02SunderlandEverton
1900-01LiverpoolSunderland
1899-00Aston VillaSheffield United
1898-99Aston VillaLiverpool
1897-98Sheffield UnitedSunderland
1896-97Aston VillaSheffield United
1895-96Aston VillaDerby County
1894-95SunderlandEverton
1893-94Aston VillaSunderland
1892-93SunderlandPreston North End
1891-92SunderlandPreston North End
1890-91EvertonPreston North End
1889-90Preston North EndEverton
1888-89Preston North EndAston Villa

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kylian Mbappé Atangaza Kuondoka PSG Huku Kukiwa na Tetesi za Kujiunga Real Madrid
  2. Makocha wanaowania Tuzo ya Meneja Bora wa Mwaka 2023/2024 Ligi Kuu ya Uingereza
  3. Orodha ya Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Kijana EPL 2023/2024
  4. Fainali Ya Klabu Bingwa Afrika 2024: Timu, Tarehe, Na Mahali
  5. Cheki Picha: Jezi Mpya za Liverpool kwa Msimu wa 2024/2025
  6. Fainali ya UEFA Champions League 2024: Real Madrid vs. Borussia Dortmund
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo