Msimamo wa Ligi Kuu England 2024/25 EPL Standings

Msimamo wa Ligi Kuu England 2024/25 EPL Standings

Hapa, Habariforum inakuletea taarifa mpya kuhusu Msimamo wa Ligi Kuu England 2024/25 (EPL Standings). Ligi Kuu England, maarufu kama EPL au ligi kuu ya Uingereza, inatambulika duniani kote kwa ubora wa timu zake na ushindani mkubwa. Ndani ya ligi hii, timu zenye wachezaji mahiri hushindana vikali, na kuifanya EPL kuwa kivutio kikubwa kwa wapenzi wa mchezo wa soka duniani.

Fuatilia kwa karibu msimamo wa EPL 2024/25 ili kujua ni timu gani zitakazoibuka kidedea katika msimu huu wa 2024/2025. Miamba ya soka kama Manchester City, Manchester United, Liverpool, Chelsea, Arsenal, na nyinginezo zinawania kwa nguvu ubingwa wa EPL. Je, ni timu gani itaibuka bingwa wa ligi hii? Endelea kufuatilia Habariforum kwa taarifa za kina na uchambuzi wa kina kuhusu EPL.

Msimamo wa Ligi Kuu England 2024/25 EPL Standings

Msimamo wa Ligi Kuu England 2024/25 EPL Standings

NafKlabuGPWDLFAGDPts
1Liverpool14112129111835
2Chelsea1484231151628
3Arsenal1484228141428
4Manchester City158342721627
5Nottingham Forest157441918125
6Aston Villa157442323025
7Brentford157263128323
8Brighton & Hove Albion146532320323
9Fulham146442119222
10UAFC Bournemouth146352119221
11TTottenham Hotspur1462628151320
12Newcastle United155551921-220
13NManchester United155461918119
14West Ham United144371827-915
15Everton143561421-714
16Crystal Palace152761420-613
17Leicester City143471928-913
18Ipswich Town141671325-129
19Wolverhampton Wanderers142392236-149
20Southampton1512121131-205

Nafasi za 1, 2, 3, 4: Kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA)

Nafasi ya 5: Kufuzu Ligi ya Europa

Nafasi za 18, 19, 20: Kushushwa daraja

Maelezo Kuhusu Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu England 2024/25

  • GP: Mechi Zilizochezwa
  • W: Ushindi
  • D: Sare
  • L: Kupoteza
  • F: Mabao Ya Kufunga
  • A: Mabao Ya Kufungwa
  • GD: Tofauti Ya Magoli
  • Pts: Pointi

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2024/2025
  2. Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2023/24
  3. Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025
  4. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier League
  5. Msimamo Makundi ya EURO 2024
  6. Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe La Dunia 2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo