Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2023/24

Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2023/24 | Msimamo Ligi Ya Bundesliga 2023/2024 Germany

Ligi Kuu Ujerumani, Bundesliga, ni moja ya ligi za soka zenye ushindani mkubwa na mvuto duniani. Kutokana na mvuto wa ligi hili, wachezaji mbalimbali wenye kipaji kikubwa cha soka kutoka kila pande ya dunia wamekua wakivutiwa kujiunga na timu zinazoshiriki ligi hili. Miongoni mwa timu bora kabisa zinazoshiriki ligi hili ni pamoja mabingwa wa kihistoria Bayern Munich, Bayer Leverkusen na Borussia.

Msimu wa 2023/2024 bila shaka ni moja kati ya misimu ambayo utakua kwenye kurasa za mbele katika vitabu vya historia ya baadhi ya timu hususani Bayer Leverkusen ambao wameweza kutangaza ubingwa baada ya kucheza michezo 33 na kuvuna jumla ya pointi 87 wakiwa wamemuacha Bayern Munich kwa pointi 15 akiwa katika nafasi ya pili.

Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2023/24

Huu Apa Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2023/24

NafasiTimuMPWDLFAGDP
1Bayer Leverkusen34286089246590
2VfB Stuttgart34234778393973
3Bayern Munich34233894454972
4RB Leipzig34198777393865
5Borussia Dortmund34189768432563
6Eintracht Frankfurt34111495150147
7TSG Hoffenheim34137146666046
8FC Heidenheim 1846341012125055-542
9Werder Bremen34119144854-642
10SC Freiburg34119144558-1342
11FC Augsburg34109155060-1039
12VfL Wolfsburg34107174156-1537
13Mainz34714133951-1235
14Borussia Monchengladbach34713145667-1134
15FC Union Berlin3496193258-2533
16VfL Bochum34712154274-3233
17FC Cologne34512172860-3227
18SV Darmstadt 983438233086-5617

Vitu Muhimu Kuhusu Jedwali La Msimamo

  • MP- Michezo Iliyochezwa (Match Played)
  • W- Ushindi (Wins)
  • D- Sare (Draw)
  • L-Kufungwa (Lose)
  • GF- Magoli Ambayo Timu Imefunga (Goal For)
  • GA- Magoli Ambayo Timu Imefungwa (Goals Against)
  • GD- Tofauti Ya Magoli (Goal Difference)
  • PTS- Jumla Ya Alama (Points)
  • Watakao Shiriki Uefa Champions League: 1st, 2nd, 3rd, 4th
  • Watakao Shiriki Europa League: 5th
  • Watakao Shuka Daraja: 17th, 18th

Misimamo Ya Ligi Nyingine:

Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo