Msimamo wa Ligi Kuu Hispania La Liga 2023/2024

Msimamo wa Ligi Kuu Hispania La Liga 2023/2024 | Msimamo La liga Ligi Kuu Nchini Hispania

Ligi Kuu Hispania, maarufu kama La Liga, ni moja kati ya ligi za soka zinazoshindaniwa vikali na zenye mvuto mkubwa duniani. Kwa misimu mingi, La Liga imekuwa uwanja wa mapambano ya kimpira kati ya vigogo kama vile Real Madrid, Barcelona, na Atletico Madrid, huku klabu nyingine zikijitahidi kupata nafasi yao kwenye kilele cha soka la Hispania. Msimu wa 2023/2024 umekuwa wa kusisimua sana, ukiwa na matukio mbalimbali ambayo mengi yameacha midomo ya mashabiki wa soka Hispania wakibaki mido wazi.

Jua nafasi ya timu yako uipendayo katika msimamo wa Ligi kuu ya La liga Hispania kwa msimu wa 2023/2024. Pata taarifa kamili na ya kina kuhusu mienendo ya ligi, matokeo ya mechi, na mabadiliko muhimu kwenye jedwali la msimamo hapa.

Msimamo wa Ligi Kuu Hispania La Liga 2023/2024

Msimamo wa Ligi Kuu Hispania La Liga 2023/2024

NafasiTimuPWDLGfGaGdPts
1Real Madrid35286178225690
2Fc Barcelona35237572432976
3Girona Fc35236675443175
4Atlético Madrid35224964392570
5Athletic Club351711757352262
6Real Betis35141384641555
7Real Sociedad351412948371154
8Valencia Cf35139133739-248
9Villarreal Cf35139135960-148
10Getafe Cf351013124148-743
11Deportivo Alavés35119153440-642
12Sevilla Fc351011144749-241
13Ca Osasuna35117173953-1440
14Ud Las Palmas35107183044-1437
15Rcd Mallorca35714142840-1235
16Rayo Vallecano35714142743-1635
17Rc Celta35810174053-1334
18Cádiz Cf35514162449-2529
19Granada Cf3549223668-3221
20Ud Almería35211223570-3517

Ligi Nyingine: Msimamo Wa Ligikuu Ya NBC Tanzania 2023/2024

Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo