Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Pamba jiji 03/10/2024

Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Pamba jiji 03/10/2024

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wanatarajiwa kuingia dimbani siku ya Alhamisi, tarehe 3 Oktoba 2024, kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji. Mechi hii itatimua vumbi katika Uwanja wa Azam Complex Chamanzi, ikianza majira ya saa 12:30 jioni. Kama wewe ni shabiki wa Yanga SC, hakika utakuwa na hamu kubwa ya kushuhudia mchezo huu, ambao unatarajiwa kuwa wa kipekee na wenye ushindani mkali. Katika makala haya, tumekuletea orodha ya vituo vinavyo uza tiketi za mchezo huu.

Hivi apa vituo vinavyo uza tiketi za kuangalia mchezo wa Yanga Vs Pamba jiji

  1. Young Africans – Jangwani
  2. Vunja Bei – Dar es Salaam Shops
  3. T-Money Ltd – Kigamboni
  4. Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
  5. Khalfan Mohamed – Ilala
  6. Lampard Electronics
  7. Godwin Fredy – Geita
  8. Gwambina Lounge – Gwambina
  9. Karoshy Pamba – Dar Live (Zakiem)
  10. Antonio Service – Sinza, Kivukoni
  11. Tumpe Kamwela – Kigamboni
  12. Sovereign – Kinondoni Makaburini
  13. View Blue Skyline – Mikocheni
  14. Mkaluka Traders – Machinga Complex
  15. New Tech General Traders – Ubungo
  16. Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
  17. Juma Burrah – Kivukoni
  18. Juma Burrah – Msimbazi
  19. Alphan Hinga – Ubungo
  20. Mtemba Service Co – Temeke
  21. Jackson Kimambo – Ubungo
  22. Shirima Shop – Leaders

 

Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Pamba jiji 03/10/2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Viingilio Mechi ya Yanga Vs Pamba jiji 03/10/2024
  2. Ratiba ya Azam FC Ligi Kuu 2024/2024
  3. Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
  4. Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025
  5. Ratiba ya Mechi za Ligi Kuu ya NBC Leo Septemba 29, 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo