Wachezaji wa Kike wa Tanzania Wanaocheza Mpira Nje ya Nchi 2024

Wachezaji wa Kike wa Tanzania Wanaocheza Mpira Nje ya Nchi 2024

Katika miaka ya hivi karibuni, soka la wanawake nchini Tanzania limepiga hatua kubwa. Wachezaji wa Kitanzania sasa wanapata fursa za kucheza katika vilabu vya nje ya nchi, jambo linaloashiria ukuaji wa vipaji vyao na mchango wao katika tasnia ya michezo duniani. Mwaka 2024, tunaona ongezeko la idadi ya wachezaji wa kike wa Tanzania wanaocheza soka nje ya mipaka ya nchi, wakileta heshima kwa taifa lao na kuonyesha uwezo wao katika ligi mbalimbali za kimataifa.

Hapa chini ni orodha ya wachezaji wa kike wa Tanzania wanaocheza soka nje ya nchi kwa mwaka 2024 pamoja na vilabu wanavyoviwakilisha:

Wachezaji wa Kike wa Tanzania Wanaocheza Mpira Nje ya Nchi 2024

1. Noela Patrick Luhala

Klabu: Tek Aviv University Club
Nchi: Israel

2. Hasnath Linus Ubamba

Klabu: Tutankhamun FC
Nchi: Misri

3. Maimuna Hamis Kaimu

Klabu: FC Masr
Nchi: Misri

4. Suzana Adam Manumbu

Klabu: Tutankhamun FC
Nchi: Misri

5. Julitha Singano

Klabu: FC Juarez
Nchi: Mexico

6. Opa Clement Tukumbuke

Klabu: Henan FC
Nchi: China

7. Clara Cleitus Luvanga

Klabu: Al Nassr
Nchi: Saudi Arabia

8. Enekia Kasonga Lunyamila

Klabu: Mazatlan Femenil
Nchi: Mexico

9. Diana Lucas Msewa

Klabu: Trabzonspor
Nchi: Uturuki

10. Aisha Khamis Masaka

Klabu: Brighton & Hove Albion
Nchi: Uingereza

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Simba yaeka Marengo Ya CAF, Mo Dewji Arejea Kuongoza Mikakati
  2. CV ya Kocha Mpya Wa Azam Rachid Taoussi
  3. Serengeti Girls Waibuka Mabingwa Kombe la UNAF U17 Tunisia 2024
  4. Jeraha la misuli ya paja Kumuweka Bangala nje kwa zaidi ya wiki moja
  5. Moto Utawaka Msimu wa Ligi ya Championship 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo