Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Vitalo Klabu Bingwa

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Vitalo Klabu Bingwa

Mabingwa watetezi wa ligi kuuu ya NBC Tanzania bara na wawakilishi pendwa wa Tanzania katika michuano ya mabingwa barani Afrika CAF Yanga Sc watakutana na Vital’o ya Burundi katika mchezo wa marudiano wa hatua za awali za mashindano ya klabu bingwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Agosti 24 2024. Mchezo huu unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Tanzania na hapa habariforum tumewaletea orodha ya vituo vya kununua tiketi mechi ya yanga vs vitalo klabu bingwa kwa wote watakaotaka kuushuhudia mchezo huu moja kwa moja kutoka dimbani estadio de Benjamin Mkapa.

Hivi Apa Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Vitalo Klabu Bingwa

  1. Young Africans – Jangwani
  2. Vunja Bei – Dar Es Salaam Shops
  3. T-Money Ltd – Kigamboni
  4. Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
  5. Khalfan Mohamed – Ilala
  6. Lampard Electronics
  7. Godwin Fredy – Geita
  8. Twisty Investment – Geita
  9. Gwambina Lounge – Gwambina
  10. Karoshy Pamba – Dar Live {Zakhiem}
  11. Antonio Service – Sinza, Kivukoni
  12. Tumpe Kamwela – Kigamboni
  13. Sovereign – Kinondoni Makaburini
  14. View Blue Skyline – Mikocheni
  15. Mkaluka Traders – Machinga Complex
  16. New Tech General Traders – Ubungo
  17. Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
  18. Juma Burrah – Kivukoni
  19. Juma Burrah – Msimbazi
  20. Alphan Hinga – Ubungo
  21. Mtemba Service Co – Temeke
  22. Jackson Kimambo – Ubungo
  23. Shirima Shop – Leaders

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Vitalo Klabu Bingwa

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Tuzo za PFA: Timu Bora ya Ligi Kuu ya Uingereza 2023/2024 Yatajwa
  2. Phil Foden Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora EPL MVP
  3. Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)
  4. Msimamo NBC Premier league 2024/2025 | Ligi Kuu Bara
  5. Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo