Matokeo ya Mashujaa Vs Dodoma Jiji Leo 17/08/2024

Matokeo ya Mashujaa Vs Dodoma Jiji Leo 17/08/2024

Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kushika kasi, na leo mashabiki wa soka Tanzania watashuhudia mtanange mkali kati ya Mashujaa FC na Dodoma Jiji FC. Mechi hii inatarajiwa kuwa ya kusisimua, hasa kwa kuzingatia historia ya michezo kati ya timu hizi mbili.

Taarifa kuhusu Mechi

  • 🏆 #NBC Tanzania Premier League
  •  Mashujaa Fc🆚Dodoma Jiji
  • 📆 17.08.2024
  • 🏟 Uwanja wa Tanganyika kigoma
  • 🕖 Saa Kumi Kamili

Fuatilia Hapa Matokeo ya Mashujaa Vs Dodoma Jiji Leo

Mashujaa FC 1-0 Dodoma Jiji

Matokeo ya Mashujaa Vs Dodoma Jiji Leo 17/08/2024

Takwimu za Mechi Zilizopita: Mashujaa FC dhidi ya Dodoma Jiji FC

Timu hizi zimekutana mara kadhaa katika mechi za hivi karibuni na matokeo yanaonyesha ushindani mkubwa. Katika mechi ya mwisho iliyofanyika tarehe 28 Mei 2024, Mashujaa FC iliibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC. Hata hivyo, katika mchezo wa tarehe 11 Februari 2024, timu hizi zilitoka sare ya bao 1-1.

Matokeo ya Timu Katika Mechi Zilizopita

Takwimu zinaonyesha kuwa Mashujaa FC imekuwa na mwenendo mzuri katika mechi zake za hivi karibuni. Katika mechi tano za mwisho, Mashujaa FC imeshinda mechi nne na kupoteza moja tu, huku ikifunga mabao 11 na kuruhusu mabao 4 tu.

Kwa upande mwingine, Dodoma Jiji FC imekuwa na wakati mgumu, kwani katika mechi zao tano za mwisho, wameshinda mechi moja tu, wameruhusu mabao 8 na kufunga mabao 2 pekee.

Matokeo ya Timu Katika Mechi Zilizopita

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons Leo 16/08/2024
  2. Viingilio Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024
  3. Vikosi Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo