Ratiba Kamili ya UEFA Euro 2024 Hatua Ya 16 Bora

Ratiba Kamili ya UEFA Euro 2024 Hatua Ya 16 Bora | Hii apa Ratiba ya 16 Bora EURO 2024

Baada ya mashabiki wa soka duniani kote kushuhudia vilabu vya nchi mbalimbali vikiwakilisha bendara za mataifa katika huta ya makundi ya mashindano ya UEFA EURO 2024. Sasa macho yote yanaelekezwa kwenye hatua ya mtoano ambapo timu 16 zilizobakia zitapambana kutafuta ubingwa. Timu hizi ni mabingwa wa makundi sita, washindi wa pili wa makundi sita, na timu nne bora zilizoshika nafasi ya tatu. Hatua ya 16 bora imeanza rasmi Jumamosi, Juni 29, na mechi mbili zimepanga kuchezeka kila siku kwa siku nne mfululizo.

Ratiba Kamili ya UEFA Euro 2024 Hatua Ya 16 Bora

Ratiba Kamili ya UEFA Euro 2024 Hatua Ya 16 Bora

Mechi ya 37: Juni 29 – Ujerumani vs Denmark (Dortmund)

  • Matokeo: 2-0 (Ujerumani)

Mechi ya 38: Juni 29 – Uswisi vs Italia (Berlin)

  • Matokeo: 2-0 (Uswisi)

Mechi ya 39: Juni 30 – Uhispania vs Georgia (Cologne)

  • Matokeo: TBD

Mechi ya 40: Juni 30 – Uingereza vs Slovakia (Gelsenkirchen)

  • Matokeo: TBD

Mechi ya 41: Julai 1 – Ureno vs Slovenia (Frankfurt)

  • Matokeo: TBD

Mechi ya 42: Julai 1 – Ufaransa vs Ubelgiji (Dusseldorf)

  • Matokeo: TBD

Mechi ya 43: Julai 2 – Romania vs Uholanzi (Munich)

  • Matokeo: TBD

Mechi ya 44: Julai 2 – Austria vs Uturuki (Leipzig)

  • Matokeo: TBD

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Timu zilizofuzu Hatua ya 16 Bora Euro 2024
  2. Msimamo Makundi ya EURO 2024
  3. Matokeo Ya Mechi Za Euro 2024
  4. Wafungaji Bora EURO 2024: Hawa Ndio Vinara Wa Magoli
  5. Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi
  6. Kikosi cha Ureno kitakachoshiriki Euro 2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo