Mabadiliko ya Uwanja: Fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Kuchezwa Zanzibar

Mabadiliko ya Uwanja: Fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Kuchezwa Zanzibar

Fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank Federation Cup) sasa itachezwa katika uwanja wa New Amaan, Zanzibar badala ya Babati Mkoani Manyara.

Umuazi huo umefanywa na Kamati ya Utendaji ya TFF baada ya baadhi ya miundombinu muhimu mjini Babati kutokuwa tayari kwa ajili ya fainali hiyo pamoja na sababu za kiusalama.

Fainali hiyo kati ya Azam FC na Yanga SC itachezwa Juni 2, 2024 saa 2:15 usiku.

Fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Kuchezwa Zanzibar

Editor’s Picks:

  1. Kikosi cha Ureno kitakachoshiriki Euro 2024
  2. Orodha Kamili ya Makombe na Tuzo za Toni Kroos
  3. Timu zilizowahi Kumaliza Msimu Bila Kufungwa
  4. Yanga SC Kusherehekea Ubingwa wa Ligi kwa Parade Kubwa Mei 25
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo