Yanga vs Tp mazembe Leo 04/01/2024 Saa Ngapi?
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara Yanga Sc na wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya klabu bingwa Afrika leo watashuka dimbani wakiwakalibisha TP Mazembe katika mchezo wa marudiano wa hatua ya makundi ya mashyindano haya ya kumsaka bingwa wa bara la Afrika. Haidi hivi sasa Yanga ndio wanashikilia nafasi ya mwisho katika msimamo wa kundi A ambalo linajumuisha mabingwa kutoka Sudani Al-Hilal, Mc Alger ya Algeria na Tp mazembe ya DRC Congo.
Ili matumaini ya Yanga kufuzu hatua inayofuata katika michuano hii basi kupata matokeo chanya ni jambo la lazima kwa wanajangwani ambao wameanza michezo yao ya awali kwa kusuasua baada ya kutokuwepo kwa wachezaji wake muhumi kutokana na majeraha yaliokua yanawabaili. Hapa tumekuletea taarifa kamili kuhusu mchezo huu wa Yanga vs Tp Mazembe.
Taarifa Kamili za Mechi Yanga vs Tp Mazembe Leo
- 🏆 #TotalEnergiesCAFCL
- ⚽️ Young Africans SC🆚TP Mazembe
- 📆 04.01.2025
- 🏟 Benjamin Mkapa
- 🕖 10:00 Jioni
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply