Ratiba Ya Mechi Za Leo 19 August 2024

Ratiba Ya Mechi Za Leo 19 August 2024

Ratiba Ya Mechi Za Leo 19 August 2024 | Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatatu ya Agosti 19 2024

Habari za michezo, wapenzi wa soka! Jumatatu hii inaanza kwa kishindo na mechi kibao zenye mvuto na ushindani wa aina yake kutoka ligi mbalimbali duniani. Ingawa Ligi Kuu ya NBC Tanzania inapumzika leo, macho yetu yanaelekezwa kwenye viwanja vya Ulaya na kwingineko kwa burudani ya soka isiyokwisha. Wazee wa mikeka, jiandaeni!

Ratiba Ya Mechi Za Leo 19 August 2024

Ligi Kuu ya EPL English Premier League

  • Leicester City vs Tottenham Hotspur – Saa 22:00 EAT

National League N/S (South)

  • Aveley vs Hemel Hempstead Town – Saa 21:45 EAT
  • Chelmsford City vs Tonbridge Angels – Saa 21:45 EAT

English FA Cup (Preliminary Round Replays)

  • Melksham Town vs Shaftesbury Town – Saa 21:45 EAT

Spanish La Liga

  • Real Valladolid vs Espanyol – Saa 21:00 EAT
  • Villarreal vs Atlético Madrid – Saa 23:30 EAT

German DFB Pokal (1st Round)

  • Energie Cottbus vs Werder Bremen – Saa 20:00 EAT
  • Kickers Offenbach vs Magdeburg – Saa 20:00 EAT
  • Koblenz vs Wolfsburg – Saa 20:00 EAT
  • Eintracht Braunschweig vs Eintracht Frankfurt – Saa 21:45 EAT

Italian Serie A

  • Lecce vs Atalanta – Saa 20:30 EAT
  • Juventus vs Como – Saa 21:45 EAT

Danish Superligaen

  • AGF vs Vejle – Saa 21:00 EAT

Greek Super League

  • Panaitolikos vs Lamia – Saa 22:00 EAT

Polish Ekstraklasa

  • Stal Mielec vs Piast Gliwice – Saa 21:00 EAT

Portuguese Primeira Liga

  • Estrela vs Famalicão – Saa 23:15 EAT

Turkish Super Lig

  • Eyüpspor vs Bodrum FK – Saa 22:00 EAT
  • Hatayspor vs Kasımpaşa – Saa 22:00 EAT

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Msimamo NBC Premier league 2024/2025 | Ligi Kuu Bara
  2. Matokeo ya Azam Vs APR Leo 18/08/2024 Klabu Bingwa
  3. Kikosi Cha Azam Vs APR Leo 18/08/2024 Club Bingwa
  4. Matokeo Simba Vs Tabora United Leo 18/08/2024
  5. Ratiba ya Timu za Taifa Agosti-Disemba 2024
  6. Matokeo ya Uhamiaji vs Al Ahli Tripoli Leo 18/08/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo