Matokeo na Ratiba ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Ratiba ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | Matokeo ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Kombe la Dunia la FIFA 2026 linakaribia kwa kasi, na shauku ya kujua ni timu zipi zitashiriki michuano hii inazidi kuongezeka duniani kote. Safari ya kufuzu kwa mashindano haya makubwa ya kandanda imeshaanza, huku timu za kitaifa zikipambana vikali kutafuta nafasi ya kushiriki kwenye mashindano haya ya soka kimataifa. Hapa tutakuletea taarifa zote kuhusu matokeo ya michezo ya kufuzu kombe la dunia 2026 pamoja na ratiba ya mechi zijazo kuelekea Kombe la Dunia 2026.

Kombe la Dunia 2026 litakuwa la kipekee kwa sababu kadhaa. Kwanza, litakuwa la kwanza kufanyika katika nchi tatu kwa pamoja: Canada, Mexico, na Marekani. Pili, litakuwa la kwanza kushirikisha timu 48, ongezeko kubwa kutoka 32 za awali. Hii ina maana kwamba ushindani utakuwa mkali zaidi, na fursa zaidi kwa timu ndogo kuonyesha uwezo wao.

Matokeo na Ratiba ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Matokeo na Ratiba ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Siku & Muda Nyumbani Matokeo Ugenini
Sunday 19/11/2023
FT Zimbabwe 1 – 1 Nigeria
FT Burundi 1 – 2 Gabon
FT Mozambique 0 – 2 Algeria
FT Sierra Leone 0 – 2 Egypt
FT Sudan 1 – 0 Congo DR
Monday 20/11/2023
FT Djibouti 0 – 1 Guinea-Bissau
FT Gambia 0 – 2 Côte d’Ivoire
FT Liberia 3 – 0 Equatorial Guinea
19:00 Eritrea  – Congo
FT Seychelles 0 – 5 Kenya
FT Chad 0 – 3 Madagascar
FT Mali 1 – 1 Central African Republic
Tuesday 21/11/2023
FT Ethiopia 0 – 3 Burkina Faso
FT Lesotho 0 – 0 Benin
FT Rwanda 2 – 0 South Africa
FT Somalia 0 – 1 Uganda
FT Botswana 1 – 0 Guinea
FT Malawi 0 – 1 Tunisia
FT Eswatini 0 – 2 Cabo Verde
FT South Sudan 0 – 0 Mauritania
FT Togo 0 – 0 Senegal
FT Mauritius 0 – 0 Angola
FT Libya 1 – 1 Cameroon
FT São Tomé e Príncipe 0 – 2 Namibia
FT Comoros 1 – 0 Ghana
FT Taifa Star 0 – 2 Morocco
FT Niger 2 – 1 Zambia
Monday 03/06/2024
1:00 Taifa Star  – Eritrea
Wednesday 05/06/2024
19:00 Sierra Leone  – Djibouti
19:00 Togo  – South Sudan
19:00 Namibia  – Liberia
19:00 Central African Republic  – Chad
22:00 Tunisia  – Equatorial Guinea
Thursday 06/06/2024
16:00 Malawi  – São Tomé e Príncipe
19:00 Guinea-Bissau  – Ethiopia
19:00 Mauritania  – Sudan
19:00 Libya  – Mauritius
19:00 Congo  – Niger
22:00 Egypt  – Burkina Faso
22:00 Senegal  – Congo DR
22:00 Benin  – Rwanda
22:00 Algeria  – Guinea
22:00 Mali  – Ghana
Friday 07/06/2024
16:00 Zimbabwe  – Lesotho
16:00 Kenya  – Burundi
16:00 Mozambique  – Somalia
19:00 Uganda  – Botswana
19:00 Madagascar  – Comoros
22:00 Nigeria  – South Africa
22:00 Angola  – Eswatini
22:00 Morocco  – Zambia
22:00 Côte d’Ivoire  – Gabon
Saturday 08/06/2024
16:00 Cameroon  – Cabo Verde
19:00 Gambia  – Seychelles

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Timu zitakazo shiriki CECAFA kagame Cup 2024
  2. Timu Inayoongoza kwa Magoli Ligi Kuu Ya NBC 2023/2024
  3. Guardiola Ashinda Tuzo Ya Kocha Bora EPL 2023/2024
  4. Mauricio Pochettino aondoka Chelsea Baada ya Msimu Mmoja
  5. Hawa Ndio Viungo Wanaoweza Kurithi Mikoba Ya Toni Kroos
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo