Kikosi cha Fountain Gate FC 2024/2025

Kikosi cha Fountain Gate FC 2024/2025 | Orodha ya Wachezaji wa Fountain Gate FC 2024/2025

Fountain Gate FC ni moja ya klabu za mpira wa miguu zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa msimu wa 2024/2025. Klabu hii, iliyokua inajulikana awali kama Singida Big Stars, imeendelea kujipambanua kama klabu kubwa katika mpira wa miguu nchini Tanzania. Ilianzishwa mwaka 2010 kama timu ya wafanyakazi wa Diamond Trust Bank (DTB) kabla ya kubadilishwa jina kuwa Singida Big Stars mwaka 2022 na hatimaye kuwa Fountain Gate FC mwaka 2024.

Kikosi cha Fountain Gate FC 2024/2025

Hapa chini ni kikosi rasmi cha Fountain Gate FC kwa msimu wa 2024/2025, ambacho kinajumuisha wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, ambao watapamba wakiwa na jezi ya Fountain Gate katika kampeni ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC.

Kikosi cha Fountain Gate FC 2024/2025

Namba ya Mchezaji Jina la Mchezaji
24 Seleman Bakari
4 Laurian Makame
3 Amos Kadikilo
7 Dickson Ambundo
8 Kassim Suleiman
10 Salum Kihimbwa
13 Abdallah Kulandana
11 William Edger
60 Seleman Mwalimu
19 Anack Mtambi
25 Yesaya Mwawenda
1 Noble John
6 Shafik Batambuze
23 Aron Lulambo
16 Elie Mokono
17 Hashimu Omary
27 Joram Mgeveke
31 Zam Elias
29 Nocholas Gyan
53 Enrick Vitars
22 Sadick Ramadhani

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Kikosi cha Tanzania Prisons 2024/2025
  2. Wachezaji Wa Yanga Walioitwa Timu ya Taifa October 2024
  3. Wachezaji Wa Simba Walioitwa Timu ya Taifa October 2024
  4. Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu NBC 2024/2025
  5. Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025
  6. Mechi ya Simba vs Yanga Ligi Kuu 2024/2025 Itachezwa Lini?
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo