Yanga Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Namungo

Yanga Yaibuka na Ushindi wa 2 0 Dhidi ya Namungo

Yanga Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Namungo

Hatimaye Mabingwa watetezi Ligu Kuu ya NBC Young Africans almaharufu kama Yanga sc wamepata ushindi wa goli 2-0 ugenini dhidi ya Namungo, baada ya kua na muendelezo wa kukosa ushindi kwenye michezo yao miwili iliyopita.

Katika mchezo huo uliofanyika leo 30 novemba 2024 dimba la Majariwa mkoani lindi, Yanga walianza kwa kasi na hatimaye magoli ya Kennedy Musonda ’50 na Pacome Zouzoua ’67 yanampa Ramovic ushindi wake wa kwanza kwenye wa Ligi Kuu na tokea apewe mikoba ya kukinoa kikosi hicho.

Baada ya matokeo haya, Yanga wanakwea mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi ya NBC 2024/2025 wakiwa na alama 27 nyuma ya vinara Simba Sc kwa alama 1.

Yanga Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Namungo

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Yanga vs Namungo leo 30/11/2024
  2. Kikosi cha Yanga vs Namungo leo 30/11/2024
  3. Ruud van Nistelrooy Ateuliwa kuwa Kocha Mkuu Leicester City
  4. Yanga vs Namungo leo 30/11/2024 Saa Ngapi?
  5. Tabora United Yaendelea Kugawa Dozi Ligi kuu
  6. Sandaland Yamtaka Ally Kamwe Kulipa Billion 3 Ndani Ya Siku 7
  7. Camara Aonya Kuhusu Ugumu wa Michuano ya CAF
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo