Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025 Saa Ngapi?

Yanga vs Songea United Leo 29 03 2025

Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025 Saa Ngapi?

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, leo watakuwa dimbani kuvaana na Songea United katika mchezo wa kuisaka tiketi ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank. Mchezo huu wa hatua ya 16 bora unatarajiwa kupigwa katika Uwanja wa KMC Complex, kuanzia saa 10:00 jioni.

Taarifa Kamili Kuhusu Mchezo wa Yanga vs Songea United Leo

  • 🔰 Mchezo: Yanga SC 🆚 Songea United
  • 🏆 Mashindano: CRDB Bank Federation Cup
  • 📆 Tarehe: 29 Machi 2025
  • 🏟 Uwanja: KMC Complex
  • 🕙 Muda: Saa 10:00 Jioni

Yanga vs Songea United Leo 29/03/2025 Saa Ngapi?

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Hispania, Morocco na Ureno Wataka Kuandaa Kombe la Dunia la Wanawake 2035
  2. Aishi Manula Bado Mambo Magumu Msimbazi
  3. Kane Atazamia Kufikia Rekodi ya Shilton na Kuweka Historia Mpya Uingereza
  4. Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Kabudi na TFF, TPLB, Yanga na Simba
  5. CAF Yaondoa Marufuku Uwanja wa Benjamin Mkapa
  6. Sowah Aweka Bayana Nia Yake Yakubeba Kiatu Cha Dhahabu
  7. Majeraha ya Goti Yamkosesha Alphonso Davies Mechi za Mwisho za Msimu
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo