Yanga vs Kengold Leo 05/02/2025 Saa Ngapi?
Pambano kali la kukatana shoka litashuhudiwa leo kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, ambapo bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, watakabiliana na timu ya Kengold SC. Mechi hii ni ya mzunguko wa 17 katika duru la pili, ikiwa ni baada ya mchezo wa kwanza uliofanyika Septemba 25, 2024, Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa 1-0.
Mashabiki wengi wa soka wana hamu ya kushuhudia jinsi beki mkongwe Kelvin Yondani atakavyokabiliana na safu ya ushambuliaji ya Yanga, inayoongozwa na washambuliaji mahiri wenye njaa kali ya kutia magoli kama vile Clement Mzize na Prince Dube. Mzize mpaka sasa ameweza kuingia kambani mara saba huku Prince mupumelelo Dube akiwa ameingia mara matano. Je, Yondani ataweza kuwazuia?
Taarifa Muhimu za Mechi Yanga vs Kengold Leo 05/02/2025
- Ligi: NBC Premier League
- Timu: Young Africans SC (Yanga) vs Kengold SC
- Tarehe: 05 Februari 2025
- Uwanja: KMC Complex, Dar es Salaam
- Muda: Saa 10:15 Jioni (EAT)
Mapendekezo ya Mhariri:
- CV ya Miloud Hamdi, Kocha Mpya wa Yanga 2025
- Timu zilizofuzu 32 bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
- Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025
- Matokeo ya Yanga Vs Kagera Sugar Leo 01/02/2025
- Ratiba ya Mechi za Yanga February 2025
- Kikosi cha Yanga Vs Kagera Sugar Leo 01/02/2025
- Aliekua Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi Atua Al Nasr ya Libya
- Kagera Sugar Yatamba Kuondoa Unyonge KMC Complex Dhidi ya Yanga
- Morocco Aweka Mikakati ya Ushindi dhidi ya Vigogo Ndani ya Kundi C AFCON 2025
Leave a Reply