Washindi wa Tuzo Za Muziki Tanzania TMA 2024

Washindi wa Tuzo Za Muziki Tanzania TMA 2024

Washindi wa Tuzo Za Muziki Tanzania TMA 2024 | Washinzi wa Tuzo za TMA (Tanzania Musics Awards)

Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) ni mojawapo ya hafla kubwa za kutambua na kusherehekea vipaji vya wasanii wa muziki nchini Tanzania. Tukio hili, lililoshirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), linaendelea kupata umaarufu mkubwa kwa kutoa jukwaa muhimu la kuwatambua wasanii waliotoa mchango mkubwa katika sekta ya burudani nchini.

Hafla ya kutangaza wa shindi wa tuzo za TMA 2024 imepangwa kufanyika leo Oktoba 19 2024, katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Tukio hilo la burudani linatarajiwa kuanza saa nane mchana na litakuwa moja ya matukio makubwa yatakayorushwa moja kwa moja kupitia Azam TV, AyoTV kwenye YouTube channel ya Millard Ayo, na kuonyeshwa kwenye vituo vya kimataifa kama MTV na BET.

Hafla hii itajumuisha vipengele mbalimbali vinavyoshindaniwa, huku majina makubwa katika muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki yakitarajiwa kutumbuiza. Miongoni mwa wasanii watakaopamba tukio hilo ni:

  • Alikiba
  • Harmonize
  • Zuchu
  • Marioo
  • Nandy
  • Young Lunya
  • Christian Bella
  • Mzee Yusuph
  • Yammi

Mbali na burudani kutoka kwa wasanii hawa, washindi wa tuzo hizo watatunukiwa tuzo maalum zilizo na muonekano wa Mlima Kilimanjaro kama ishara ya utukufu wa sanaa ya Tanzania.

Washindi wa Tuzo Za Muziki Tanzania TMA 2024

Washindi wa Tuzo Za Muziki Tanzania TMA 2024

Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) ni moja ya hafla kubwa zaidi za kutambua vipaji na ubunifu wa wasanii wa muziki nchini Tanzania. Hafla hii hufanyika kila mwaka ikiratibiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), na mwaka huu imevutia umakini mkubwa kutoka kwa mashabiki wa muziki ndani na nje ya nchi. Washindi wa TMA 2024 walitangazwa Oktoba 19, 2024, katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.

Ifuatayo ni orodha ya washindi wa vipengele mbalimbali vya tuzo hizi:

BEST COMPOSER OF TAARAB MUSIC OF THE YEAR

  • Umenibamba – Father Mauji
  • Nkurukumbi – Bob Rama
  • Babu Juha – Kisaka
  • DSM Sweetheart – Thabit Abdul
  • Sina Wema – Mfalme Mzee Yusuph – WINNER

BEST EAST, WEST & SOUTH AFRICAN SONG

  • People – Libianca
  • American Love – Qing Madi
  • Lonely At The Top – Asake – WINNER
  • Unavailable – Davido Ft Musa Keys
  • Mnike – Tyler ICU

BEST MALE ARTIST

  • Marioo – Shisha
  • Shuu! – Diamond Platnumz – WINNER
  • Single Again – Harmonize
  • Sumu – Ali Kiba
  • Nitasema – Jay Melody

BEST FEMALE ARTIST OF THE YEAR

  • Watu Na Viatu – Malkia Leyla Rashid
  • Honey – Zuchu
  • Blessing – Anjella
  • Milele – Abigail Chams
  • Nandy – Falling – WINNER

BEST SONG OF THE YEAR

  • Honey – Zuchu
  • Single Again – Harmonize – WINNER
  • Enjoy – Jux ft. Diamond Platnumz
  • Tajiri – Lava Lava
  • Shu! – Diamond Platnumz

BEST DANCE MUSIC SINGER OF THE YEAR

  • Kanivuruga – Christian Bella – WINNER
  • Hellena – Melody Mbassa
  • Jela Ya Mapenzi – Papii Kocha
  • Mmbeya – Charlz Baba
  • Popo – Sarah Masauti

BEST DANCE MUSIC SONG OF THE YEAR

  • Mmbeya – Twanga Pepeta
  • Tonge la Mwisho – Sikinde Original
  • Nyoka – Melody Mbassa
  • Achii – Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide – WINNER
  • Kanivuruga – Malaika Band

BEST MUSIC COMPOSER OF DANCE MUSIC OF THE YEAR

  • Master Keys
  • Dad One Touch
  • Erasto Machine
  • Christian BellaWINNER

BEST SONGWRITER OF THE YEAR

  • Mbosso
  • Dulla Makabila
  • Thabit Abdul
  • Jay Melody
  • MariooWINNER

BEST BONGO FLAVA MUSIC PRODUCER

  • Ibrah Jacko
  • Aloneym
  • Trone
  • S2KizzyWINNER
  • Mr. LG

BEST BONGO FLAVA SONG OF THE YEAR

  • Yatapita – Diamond Platnumz
  • Baridi – Jay Melody
  • Honey – Zuchu
  • Mahaba – Alikiba – WINNER
  • Single Again – Harmonize

BEST FEMALE BONGO FLAVA SINGER OF THE YEAR

  • Nandy – Falling
  • Anjella – Blessing
  • Phina – Sisi Ni Wale
  • Appy – Watu Feki
  • Zuchu – Naringa – WINNER

BEST MALE BONGO FLAVA SINGER OF THE YEAR

  • Diamond Platnumz – Yatapita
  • Jay Melody – Sawa
  • Alikiba – Mahaba
  • Marioo – Love Song
  • Harmonize – Single Again

BEST SINGELI ARTIST OF THE YEAR

  • Mtamu – D Voice
  • Nije Ama Nisije – Dulla Makabila – WINNER
  • Nikiachwa Kama Nimeacha – Mchina Mweusi
  • Danga Langu – Lamona
  • Nini Tena Hiki? – Dogo Elisha

BEST SINGELI SONG OF THE YEAR

  • Karibu Tanzania – Hemedi Kiduku
  • Mr Dj – Dogo Elisha
  • Nikiacha Kama Nimeachwa – Mchina Mweusi
  • Kitu Kizito – Rayvanny ft. Misso Misondo – WINNER
  • Nije Ama Nisije – Dulla Makabila

BEST DJ OF THE YEAR (DJ BORA WA MWAKA)

  • DJ D Ommy
  • DJ Mamie
  • DJ Ally BWINNER
  • DJ Shana Mnyamwezi
  • DJ Seven Worldwide

BEST FEMALE PERFORMER OF THE YEAR

  • Phina – Do Salale
  • Lolo Da Princess – Performance Turn Up To New Year 2023
  • Zuchu – Nani Remix – WINNER
  • Abigail Chams – Milele

BEST MALE PERFORMER OF THE YEAR

  • Mbosso – Sele
  • Christian Bella – Tamu
  • Harmonize – Single Again
  • Alikiba – Sumu
  • Diamond Platnumz – Shu! – WINNER

BEST MUSIC PRODUCER OF THE YEAR

  • S2KizzyWINNER
  • Mr. LG
  • Lizer
  • Thabit Abdul
  • Trone

BEST ALBUM OF THE YEAR

  • 5 – Abigail Chams
  • Swahili Kid – D Voice
  • Most People Want This – Navy Kenzo
  • Visit Bongo – Harmonize – WINNER
  • Flowers III – Rayvanny

BEST UPCOMING ARTIST OF THE YEAR

  • Lalala – Xouh
  • Gibela – Chino Kidd – WINNER
  • Watu Feki – Appy
  • Mi Nawe – Mocco Genius
  • Namchukia – Yammi

BEST HIP-HOP SONG OF THE YEAR

  • Uongo – Rapcha
  • Current Situation – Country Wizzy – WINNER
  • Stupid – Young Lunya
  • Machozi – Stamina ft. Bushoke
  • Bobea – Joh Makini

HIP HOP ARTIST OF THE YEAR

  • Stupid – Young Lunya – WINNER
  • Dunga Mawe – Kontawa
  • Machozi – Stamina
  • Bobea – Joh Makini
  • Mama Omollo – Rosa Ree

BEST COLLABORATION SONG OF THE YEAR

  • Sumu – Alikiba ft. Marioo
  • Sele – Mbosso ft. Chley
  • Nani? – Abigail Chams ft. Marioo
  • Enjoy – Jux ft. Diamond Platnumz – WINNER
  • Achii – Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Muonekano wa Tuzo za Muziki TMA 2024
  2. Diamond Platnumz Atajwa Tuzo za MTV EMA
  3. Tuzo za Muziki Tanzania 2024 (TMA) Kutolewa Oktoba 19
  4. Huu Apa Wimbo Mpya wa Nay Wa Mitego Ft Raydiace – Nitasema
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo