Washindi Wa Tuzo Za BET 2024

Washindi Wa Tuzo Za BET 2024 | Wasanii Walioshionda Tuzo Za BET 2024

Washindi wa Tuzo za BET wametangazwa rasmi hapo juzi, Juni 30, 2024, katika sherehe zilizofanyika Los Angeles katika ukumbi wa Peacock Theater ambapo mshehereshaji wa hafla hiyo kwa mwaka wa tatu mfululizo ni mwigizaji aliyeteuliwa na Oscar, Taraji P. Henson.

Orodha ya watumbuizaji na waburudishaji katika usiku wa Tuzo za BET ilihusisha mastaa kama Megan Thee Stallion, Lauryn Hill na mwanawe YG Marley, Ice Spice, Latto, Childish Gambino, Keke Palmer, Victoria Monét, GloRilla, Muni Long, Sexyy Red, Shaboozey, Chloe, na Tyla, miongoni mwa wengine.

Mwaka huu, Tuzo za BET zilishuhudia kilele cha hadithi za kuvutia katika tasnia ya muziki. Tumeshuhudia wasanii chipukizi wakiibuka kwa nguvu, nyimbo zenye midundo ya kipekee zikitikisa anga la muziki mzuri Duniani kote, na msanii wa kipekee wa muziki wa rap kutoka kutoka shimoni hadi kujitambulisha kwa ulimwengu. Miongoni mwa hadithi ambazo ziliunda msingi wa Tuzo za BET za 2024. Hasa zaidi, mashabiki walikuwa na hamu ya kuona jinsi suala tata linalomhusu msanii aliyeteuliwa mara nyingi usiku huo lingeshughulikiwa, na ikiwa angefufuka kutoka “majivu” na kurudi kwenye jukwaa kwa ushindi.

Msimu wa Tuzo za BET 2024 ulihusisha mastaa kama Drake ambae ndie alikua akiongoza kwa kuwania tuzo saba, akifuatiwa kwa karibu na Nicki Minaj mwenye aliekua kwenye vinyang’anyiro vya tuzo sita. Wasanii wengine kama J. Cole, Sexyy Red, SZA, na Victoria Monét nao walionyesha uwezo wao kwa kwa kuteuliwa kuwania tuzo tano kila mmoja.

Lakini ni nani hasa walioibuka washindi katika usiku huu wa kipekee? Endelea kusoma ili kugundua orodha kamili ya washindi wa Tuzo za BET 2024 na matukio mengine ya kukumbukwa kutoka katika usiku huu wa kihistoria wa muziki.

Washindi Wa Tuzo Za BET 2024 | Wasanii Walioshionda Tuzo Za BET 2024

Washindi Wa Tuzo Za BET 2024

Best Female R&B/Pop Artist

  • Beyoncé
  • Muni Long
  • Coco Jones
  • Doja Cat
  • H.E.R.
  • SZA- MSHINDI
  • Tyla
  • Victoria Monét

Best Male R&B/Pop Artist

  • Brent Faiyaz
  • Bryson Tiller
  • Burna Boy
  • Chris Brown
  • Drake
  • Fridayy
  • October London
  • Usher – MSHINDI

Best Group

  • Y$, Ye, Ty Dolla $ign – MSHINDI
  • 2 Chainz & Lil Wayne
  • 41
  • Blxst & Bino Rideaux
  • City Girls
  • Flo
  • Maverick City Music
  • Wanmor

Best Collaboration

  • Lil’ Durk ft. J.Cole – All My Life – MSHINDI
  • Beyoncé ft. Kendrick Lamar – America Has A Problem (Remix)
  • Nicki Minaj & Ice Spice (with Aqua) – Barbie World
  • Cardi B ft. Megan Thee Stallion – Bongos
  • Y$, Ye, Ty Dolla $ign ft. Rich the Kid, and Playboi Carti – Carnival
  • Lola Brooke ft. Latto & Yung Miami – Don’t Play With It (Remix)
  • Nicki Minaj ft. Lil Uzi Vert – Everybody
  • Usher, Summer Walker, & 21 Savage – Good Good
  • Drake ft. Sexyy Red & SZA – Rich Baby Daddy

Best Female Hip Hop Artist

  • Doja Cat
  • GloRilla
  • Cardi B
  • Ice Spice
  • Latto
  • Megan Thee Stallion
  • Nicki Minaj – MSHINDI
  • Sexyy Red

Best Male Hip Hop Artist

  • 21 Savage
  • Burna Boy
  • Drake
  • Future
  • Gunna
  • J. Cole
  • Kendrick Lamar – MSHINDI
  • Lil Wayne

Video of the Year

  • Doja Cat – Agora Hills
  • Lil Durk ft. J.Cole – All My Life
  • Nicki Minaj & Ice Spice (with Aqua) – Barbie World
  • Cardi B ft. Megan Thee Stallion – Bongos
  • Drake ft. J.Cole – First Person Shooter
  • Usher, Summer Walker, & 21 Savage – Good Good
  • Victoria Monét – On My Mama – MSHINDI
  • Drake ft. Sexyy Red & SZA – Rich Baby Daddy

Video Director of the Year

  • Benny Boom
  • Child.
  • Cole Bennett – MSHINDI
  • Dave Meyers
  • Janelle Monae & Alan Ferguson
  • Offset
  • Tems
  • Tyler, The Creator

Best New Artist

  • 41
  • 4Batz
  • Ayra Starr
  • Bossman DLow
  • Fridayy
  • October London
  • Sexyy Red
  • Tyla – MSHINDI

Album of the Year

  • Chris Brown – 11:11
  • Gunna – A Gift & A Curse
  • 21 Savage – American Dream
  • Usher – Coming Home
  • Drake – For All The Dogs (Scary Hours Edition)
  • Victoria Monét – Jaguar II
  • Killer Mike – Michael – MSHINDI
  • Nicki Minaj – Pink Friday 2

Dr. Bobby Jones Best Gospel/Inspirational Award

  • Shirley Caesar – All Of The Glory
  • Kirk Franklin – All Things
  • Halle Bailey – Angel
  • Cece Winans – Come Jesus Come
  • Erica Campbell – Do You Believe In Love?
  • Maverick City Music, Naomi Raine, & Chandler Moore – God Problems
  • Tems – Me & U – MSHINDI
  • Kirk Franklin – Try Love

BET Her Award

  • Beyoncé – “16 Carriages”
  • Nicki Minaj ft. Tasha Cobbs Leonard – “Blessings”
  • Ayra Starr – “Commas”
  • Flo ft. Missy Elliot – “Fly Girl”
  • Megan Thee Stallion – “Hiss”
  • Victoria Monét – “On My Mama” – MSHINDI
  • SZA – “Saturn”
  • GloRilla – “Yeah Glo!”

Best Movie

  • American Fiction
  • Bob Marley: One Love – MSHINDI
  • Renaissance: A Film by Beyoncé
  • Spider-Man: Across the Spider-Verse
  • The Book of Clarence
  • The Color Purple
  • The Equalizer 3
  • The Little Mermaid

Best Actor

  • Anthony Mackie
  • Colman Domingo
  • Damson Idris
  • Denzel Washington – MSHINDI
  • Donald Glover
  • Idris Elba
  • Jeffrey Wright
  • Lakeith Stanfield

Best Actress

  • Angela Bassett
  • Ayo Edebiri
  • Coco Jones
  • Danielle Brooks
  • Fantasia
  • Halle Bailey
  • Issa Rae
  • Regina King – MSHINDI

YoungStars Award

  • Akira Akbar
  • Blue Ivy Carter – MSHINDI
  • Demi Singleton
  • Heiress Diana Harris
  • Jabria McCullum
  • Jalyn Hall
  • Leah Jeffries
  • Van Van

Sportswoman of the Year

  • A’Ja Wilson
  • Angel Reese – MSHINDI
  • Coco Gauff
  • Flau’Jae Johnson
  • Juju Watkins
  • Naomi Osaka
  • Sha’Carri Richardson
  • Simone Biles

Sportsman of the Year

  • Anthony Edwards
  • Gervonta Davis
  • Jalen Brunson – MSHINDI
  • Jalen Hurts
  • Kyrie Irving
  • LeBron James
  • Patrick Mahomes
  • Stephen Curry

Best International Act

  • Asake (Africa)
  • Aya Nakamura (France)
  • Ayra Starr (France)
  • BK (Brazil)
  • Cleo Sol (UK)
  • Focalistic (Africa)
  • Karol Conka (Brazil)
  • Raye (UK)
  • Tiakola (France)
  • Tyla (Africa) – MSHINDI

Viewers’ Choice Best International Act

  • Bellah (UK)
  • Cristale (UK)
  • Duquesa (Brazil)
  • Holly G (France)
  • Jungeli (France)
  • Makhadzi (Africa) – MSHINDI
  • Oruam (Brazil)
  • Seyi Vibez (Africa)
  • Tyler Icu (Africa)

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. Link Za Magroup ya Telegram Tanzania 2024
  2. Orodha ya Wasanii Matajiri Tanzania 2024
  3. Mishono Mipya Ya Vitambaa 2024
  4. Video ya Chris Brown Akicheza Challenge ya Komasava
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo