Orodha Ya Washindi Tuzo Za Muziki TMA 2024

Washindi wa Tuzo Za Muziki Tanzania TMA 2024

Orodha Ya Washindi Tuzo Za Muziki TMA 2024

Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) zimekuwa na nafasi kubwa katika kuibua na kuthamini vipaji vya muziki nchini Tanzania. Tukio hili, ambalo linafanyika kila mwaka kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), limeendelea kukua na kuwa tukio la kipekee linalovutia macho na masikio ya wapenzi wa muziki ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Lengo kuu la TMA ni kutambua na kusherehekea wasanii ambao wamekuwa na mchango mkubwa katika tasnia ya muziki na burudani.

Kwa mwaka 2024, tuzo za muziki TMA zinasubiriwa kwa hamu kubwa, huku wasanii, mashabiki, na wadau wa burudani wakiwa na shauku ya kujua nani ataondoka na tuzo hizo za heshima. Hafla ya utoaji wa tuzo hizo imepangwa kufanyika leo Oktoba 19, 2024, katika ukumbi wa kifahari wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Ukumbi huu umechaguliwa kwa kuwa ni mojawapo ya maeneo bora ya maonyesho ya burudani nchini, ukiwa na uwezo wa kupokea maelfu ya wageni kwa wakati mmoja.

Kwa mujibu wa ratiba, hafla hiyo itaanza rasmi saa nane mchana na inatarajiwa kuleta burudani ya kipekee kwa wageni waliopo ukumbini na wale watakaofuatilia kupitia majukwaa ya matangazo moja kwa moja. Kwa mara ya kwanza, TMA 2024 itarushwa kwenye vituo vya kimataifa kama MTV na BET, hatua inayopandisha hadhi ya tuzo hizi kimataifa. Huko nyumbani, mashabiki wanaweza kufuatilia matangazo kupitia Azam TV na AyoTV, huku pia ikipatikana kwenye YouTube channel ya Millard Ayo.

Washindi Tuzo Za Muziki TMA 2024

Orodha ya Washindi Tuzo Za Muziki TMA 2024

Tuzo za TMA 2024 zimejumuisha vipengele mbalimbali vinavyoshindanisha wasanii wa muziki kutoka aina tofauti. Vipengele hivi vinatoa nafasi kwa wasanii kupambanishwa na wenzao kulingana na ubora wa kazi zao.

Hapa tutaorozesha orodha ya wasanii walioibuka kidedea katika vipengele mbalimbali vya Tuzo za TMA 2024.

BEST COMPOSER OF TAARAB MUSIC OF THE YEAR

  • Sina Wema – Mfalme Mzee Yusuph (Mshindi)
  • Umenibamba – Father Mauji
  • Nkurukumbi – Bob Rama
  • Babu Juha – Kisaka
  • DSM Sweetheart – Thabit Abdul

BEST EAST, WEST & SOUTH AFRICAN SONG

  • Lonely At The Top – Asake (Mshindi)
  • People – Libianca
  • American Love – Qing Madi
  • Unavailable – Davido Ft Musa Keys
  • Mnike – Tyler ICU

BEST MALE ARTIST

  • Shuu! – Diamond Platnumz (Mshindi)
  • Shisha – Marioo
  • Single Again – Harmonize
  • Sumu – Ali Kiba
  • Nitasema – Jay Melody

BEST FEMALE ARTIST OF THE YEAR

  • Falling – Nandy (Mshindi)
  • Watu Na Viatu – Malkia Leyla Rashid
  • Honey – Zuchu
  • Blessing – Anjella
  • Milele – Abigail Chams

BEST SONG OF THE YEAR

  • Single Again – Harmonize (Mshindi)
  • Honey – Zuchu
  • Enjoy – Jux ft. Diamond Platnumz
  • Tajiri – Lava Lava
  • Shu! – Diamond Platnumz

BEST DANCE MUSIC SINGER OF THE YEAR

  • Kanivuruga – Christian Bella (Mshindi)
  • Hellena – Melody Mbassa
  • Jela Ya Mapenzi – Papii Kocha
  • Mmbeya – Charlz Baba
  • Popo – Sarah Masauti

BEST DANCE MUSIC SONG OF THE YEAR

  • Achii – Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide (Mshindi)
  • Mmbeya – Twanga Pepeta
  • Tonge la Mwisho – Sikinde Original
  • Nyoka – Melody Mbassa
  • Kanivuruga – Malaika Band

BEST MUSIC COMPOSER OF DANCE MUSIC OF THE YEAR

  • Christian Bella (Mshindi)
  • Master Keys
  • Dad One Touch
  • Erasto Machine

BEST SONGWRITER OF THE YEAR

  • Marioo (Mshindi)
  • Mbosso
  • Dulla Makabila
  • Thabit Abdul
  • Jay Melody

BEST BONGO FLAVA MUSIC PRODUCER

  • S2Kizzy (Mshindi)
  • Ibrah Jacko
  • Aloneym
  • Trone
  • Mr. LG

BEST BONGO FLAVA SONG OF THE YEAR

  • Mahaba – Alikiba (Mshindi)
  • Yatapita – Diamond Platnumz
  • Baridi – Jay Melody
  • Honey – Zuchu
  • Single Again – Harmonize

BEST FEMALE BONGO FLAVA SINGER OF THE YEAR

  • Naringa – Zuchu (Mshindi)
  • Falling – Nandy
  • Blessing – Anjella
  • Sisi Ni Wale – Phina
  • Watu Feki – Appy

BEST MALE BONGO FLAVA SINGER OF THE YEAR

  • Diamond Platnumz – Yatapita
  • Jay Melody – Sawa (Mshindi)
  • Alikiba – Mahaba
  • Marioo – Love Song
  • Harmonize – Single Again

BEST SINGELI ARTIST OF THE YEAR

  • Nije Ama Nisije – Dulla Makabila (Mshindi)
  • Mtamu – D Voice
  • Nikiachwa Kama Nimeacha – Mchina Mweusi
  • Danga Langu – Lamona
  • Nini Tena Hiki? – Dogo Elisha

BEST SINGELI SONG OF THE YEAR

  • Kitu Kizito – Rayvanny ft. Misso Misondo (Mshindi)
  • Karibu Tanzania – Hemedi Kiduku
  • Mr Dj – Dogo Elisha
  • Nikiacha Kama Nimeachwa – Mchina Mweusi
  • Nije Ama Nisije – Dulla Makabila

BEST DJ OF THE YEAR (DJ BORA WA MWAKA):

  • DJ Ally B (Mshindi)
  • DJ D Ommy
  • DJ Mamie
  • DJ Shana Mnyamwezi
  • DJ Seven Worldwide

BEST FEMALE PERFORMER OF THE YEAR

  • Zuchu – Nani Remix (Mshindi)
  • Phina – Do Salale
  • Lolo Da Princess – Performance Turn Up To New Year 2023
  • Abigail Chams – Milele

BEST MALE PERFORMER OF THE YEAR

  • Diamond Platnumz – Shu! (Mshindi)
  • Mbosso – Sele
  • Christian Bella – Tamu
  • Harmonize – Single Again
  • Alikiba – Sumu

BEST MUSIC PRODUCER OF THE YEAR

  • S2Kizzy (Mshindi)
  • Mr. LG
  • Lizer
  • Thabit Abdul
  • Trone

BEST ALBUM OF THE YEAR

  • Visit Bongo – Harmonize (Mshindi)
  • 5 – Abigail Chams
  • Swahili Kid – D Voice
  • Most People Want This – Navy Kenzo
  • Flowers III – Rayvanny

BEST UPCOMING ARTIST OF THE YEAR

  • Gibela – Chino Kidd (Mshindi)
  • Lalala – Xouh
  • Watu Feki – Appy
  • Mi Nawe – Mocco Genius
  • Namchukia – Yammi

BEST HIP-HOP SONG OF THE YEAR

  • Current Situation – Country Wizzy (Mshindi)
  • Uongo – Rapcha
  • Stupid – Young Lunya
  • Machozi – Stamina ft. Bushoke
  • Bobea – Joh Makini

HIP HOP ARTIST OF THE YEAR

  • Young Lunya – Stupid (Mshindi)
  • Dunga Mawe – Kontawa
  • Machozi – Stamina
  • Bobea – Joh Makini
  • Mama Omollo – Rosa Ree

BEST COLLABORATION SONG OF THE YEAR

  • Enjoy – Jux ft. Diamond Platnumz (Mshindi)
  • Sumu – Alikiba ft. Marioo
  • Sele – Mbosso ft. Chley
  • Nani? – Abigail Chams ft. Marioo
  • Achii – Diamond Platnumz ft. Koffie Olomide

Mapendezo ya Mhariri:

  1. Washindi wa Tuzo Za Muziki Tanzania TMA 2024
  2. Muonekano wa Tuzo za Muziki TMA 2024
  3. Diamond Platnumz Atajwa Tuzo za MTV EMA
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo