Wasanii Watakao Tumbuiza Simba Day 2024

Wasanii Watakao Tumbuiza Simba Day 2024

Tamasha la Simba Day 2024 linalosubiriwa kwa hamu kubwa na maelfu ya masahabiki wa Simba Tanzania na nje ya Tanzania kufanyika hapo kesho Agosti 3 katika dimba la Benjamin Mkapa Dar es salaam. Katika tamasha hili, Mashabiki wa Simba watashuhudia utambulisho wa wachezaji wote wa Simba waliosajiliwa na wale waliobakizwa kuelekea msimu wa 2024/2025.

Nje na utambulisho, Tamasha hili limetajwa kuhusisha burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa muziki na hapa Habariforum tumekuletea orodha kamili ya wasanii watakao sherehesha katika tamasha hili.

Wasanii Watakao Tumbuiza Simba Day 2024

Orodha ya Wasanii Watakao Tumbuiza Simba Day 2024

  1. Ali Kiba
  2. Joh Makini
  3. Dulla Makabila
  4. Chino

Mbali na wasanii, pia kutakua na Madj nguli wa kimataifa wakinogesha sherehe hii maarufu kama Simba Day 2024. Kwenye mashine atakuwepo Dj Bike, Dj White na Dj Sinyorita.

Madj Wa Simba Day 2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Hivi Apa Vituo Vya Kununua Tiketi Simba Day 2024
  2. Simba Day 2024: Tarehe Rasmi Yatangazwa na Simba SC
  3. Nabi Atoa Angalizo Simba, Asema Yanga Ni Balaa! Chivaviro Asimulia
  4. Simba SC Yafunga Pre-season kwa Ushindi
  5. Matokeo Simba Vs Al Adalah FC Leo (29/07/2024)- Mechi ya Kirafiki
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo