Wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024

Contents hide
1 Wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024 (Tuzo za Mpira wa Miguu TFF)

Wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024 (Tuzo za Mpira wa Miguu TFF)

Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania TFF limetangaza majina ya wanaowania Tuzo za TFF msimu wa mwaka 2023/2024. Tuzo hizo zimepangwa kufanyika Agosti 1 2024 katika ukumbi wa The Sper Dome Masaki, Dar es salaam. Tayari Kamati ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefanya uteuzi wa washiriki katika makundi mbalimbali ya Tuzo hizo.

Tuzo za TFF 2023/2024ย zimegawanyika katika makundi matano ambayo ni;

  1. Tuzo za Kombe la Shirikisho la Benk1 ya CRDB
  2. Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake
  3. Tuzo za Ligi Kuu ya NBC
  4. Tuzo za Utawala, na;
  5. Tuzo za Ligi nyingine

Msimu huu kutakuwa na ongezeko la tuzo tatu ambazo hazikuwepo msimu uliopita na kati ya hizo tuzo mblli ni mpya hazijawahi kutolewa, wakati tuzo moja iliwahl kutolewa lakini msimu uliopita haikuwepo. Tuzo mpya ni Mchezajl Bora wa Tanzania anayecheza Nje (Mwanaume) na Mchezaji Bora wa Tanzania anayecheza Nje (Mwanamke). Tuzo nyingine ni Mchezaji Bora wa Soka la Ufukweni.

Angalia Hapa Washindi wa Tuzo za TFF 2023/2024

Wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024

Orodha kamili ya tuzo hizo na wateule wake ni kama ifuatayyo:

Wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024 Kombe La Shirikisho la CRDB

Wanaowania Tuzo ya Mfungaji Bora Kombe La Shirikisho la CRDB

  1. Clement Mzize ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Yanga
  2. Edward Songo- JKT Tanzania

Wanaowania Tuzo ya Kipa Bora Kombe La Shirikisho la CRDB

  1. Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ โ€“ Young Africans
  2. Khomein Abubakar ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Ihefu Sc
  3. Mohamed Mustafa ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ โ€“ Azam Fc

Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Kombe La Shirikisho la CRDB

  1. Aziz KI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ โ€“ Yanga
  2. Feisal Salum ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Azam Fc
  3. Clement Mzize ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Yanga
  4. Ibrahim Bacca ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Yanga
  5. Kipre Junior ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€“ Azam Fc

Wanaowania Tuzo za TFF 2023/2024 Ligi Kuu Ya NBC Tanzania

Msimu wa 2023/2024 wa Ligi Kuu ya NBC umefikia tamati na sasa ni wakati wa kutambua na kusherehekea wachezaji ambao walikua na ubora mkubwa katika michozo yote. Tuzo za TFF kwa ligi kuu ya NBC Tanzania 2023/2024 zinawashirikisha wachezaji na makocha bora zaidi ambao wameonyesha umahiri na juhudi zao msimu mzima. Kila mwaka, TFF inatoa tuzo hizi kwa wale waliotoa mchango mkubwa katika soka la Tanzania, na mwaka huu hakika haujatofautiana.

Hapa tumekuletea orodha ya wanaowania tuzo hizi, ikiwemo mchezaji bora wa mwaka, kocha bora, na vipaji vingine vilivyojidhihirisha.

Wanaowania tuzo ya Kocha Bora Ligi Kuu NBC 2023/24

  1. Miguel Gamondi ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท โ€“ Young Africans
  2. Bruno Ferry ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท โ€“ Azam Fc
  3. David Ouma ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช โ€“ Coastal Union

Wanao wania Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu NBC 2023/24

  1. Aziz KI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ โ€“ Yanga
  2. Feisal Salum ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Azam
  3. Kipre Junior ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€“ Azam
  4. Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ โ€“ Yanga
  5. Ley Matampi ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ โ€“ Coastal
  6. Attohoula Yao ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€“ Yanga
  7. Ibrahim Bacca ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Yanga
  8. Mohamed Hussein ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Simba

Wanaowania tuzo ya Beki Bora Ligi Kuu NBC 2023/24

  1. Attohoula Yao ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€“ Young Africans
  2. Ibrahim Bacca ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Young Africans
  3. Mohamed Hussein ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Simba Sc

Wanaowania tuzo ya Golikipa Bora Ligi Kuu NBCย 2023/24

  1. Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ โ€“ Young Africans
  2. Ley Matampi ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ โ€“ Coastal Union
  3. Ayoub Lakred ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ โ€“ Simba Sc

Wanaowania tuzo ya Kiungo bora Ligi Kuu NBCย 2023/24

  1. Feisal Salum ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ Azam Fc
  2. Aziz KI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ โ€“ Yanga Sc
  3. Kipre Junior ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€“ Azam Fc

Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Ligi Kuu Ya NBC

  1. Semfuko Charles Coastal
  2. Shomary Raheem Kmc
  3. Costantine Malimigeita

Wanaowania Tuzo ya Seti Bora Ya Waamuzi Ligi Kuu Ya NBC

  1. Simba Sc 1-5 Young Africans; Ref-Ahmed Arajiga Asst-Mohamed Mkono Asst-Kassim Mpanga 4th -Ramadhan Kayoko
  2. Simba Sc 1 -2 Prisons; Ref- Nassoro Mwinchui Asst.Makame Mdogo Asst -Neeata Mwambashi 4th -Selemani Kinugani
  3. Azam Fc 2 โ€“ 1 Young Africans; Ref-Hery Sasii Asst-Frank Komba Asst-Kassim Mpanga 4th -Isihaka Mwalile
  4. Azam Fc 0 โ€“ 0 Mashujaa; Ref-Katanga Hussein Asst4-Iamdan Said Asst-Martin Mwalyaje 4th -Ramadhan Kayoko
  5. Jkt 0-0 Young Africans; Ref-Herry 54511 Asst-Omari Kambangwa Asst-Zawadi Yusuph 4th -Isihaka Mwalile
  6. Simba Sc 0-2 Young Africans; Ref -Ahmed Arajiga Manyara Asst- Mohamed. Mkono-Tanga Asst- Kassim Mpang โ€“ Dsm 4โ€ณ โ€“ Tatu Malogo Tanga

Mwamuzi Msaidizi Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24

  1. Frank Komba
  2. Mohammed Mkono
  3. Kassim Mpanga
  4. Janeth Balama
  5. Zawadi Yusuph

Mwamuzi Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24

  1. Tatu Malogo
  2. Ahmed Arajiga
  3. Abdallah Mwinyimkuu
  4. Amina Kyando
  5. Hery Sasii
  6. Saad Mrope

Timu Yenye Nidhamu Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/24

  1. Ihefu
  2. Kagera Sugar
  3. Mtibwa Sugar

Wanao wania Tuzo ya Meneja Bora

  1. Amir Juma Azam Complex
  2. Nasser Makau Mkwakwani
  3. Shaaban Raiabu Lake Tanganyika

Wanao Wania Tuzo ya Kamishina Bora

  1. Martin Kibua-Tanga
  2. Zena Chande-Dar es Salaam
  3. Hamis Kitila-Singida
  4. Sadick Jumbe-Mbeya
  5. Abousufian

Tuzo Za Ligi Nyingine

Wanao wania Tuzo ya Mchezaji Bora Nbc Championship

  1. Boban Bogere Biashara Utd
  2. Casto Mhagama- Kengold Fc
  3. Edgar William Kengold Fc

Wanao wania Tuzo ya Mchezaji Bora First League

  1. Mohamed Bakari- African Sports
  2. Ayoub Masudi- African Sports
  3. Ahmad Ndondi- Malimao

Mchezaji Bora Ligi Ya U-20

  1. Bruno Nataly-Kagera Sugar
  2. Omary Shaaban Mwinyimvua-Dodoma Jiji
  3. Ally Mohamed Golo -Azam

Mchezaji Bora Beach Soccer

  1. Jaruph Rajabu Juma-Friends Of Mkwajuni 2
  2. Yahya Tumbo-Vingunguti Kwanza
  3. Abdillah Mohammed-Rata Fc

Mchezaji Bora Wa Tanzania Anayecheza Nje (Me)

  1. Mbwana Samatta
  2. Novatus Dismas
  3. Himid Mao

Mchezaji Bora Wa Tanzania Anayecheza Nje (Ke)

  1. Clara Luvanga
  2. Aisha Masaka
  3. Oppah Clement

Wanaowania Tuzo za Mpira wa Miguu TFF Ligi Kuu Ya Wanawake

Mfungaji Bofta Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Aisha Mnuka-Simba Queens

Wanaowania Tuzo ya Kipa Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Najath Abbas-Jkt Queens
  2. Caroline Rufaa-Simba Queens
  3. Mariam Shaaban-Bunda Queens

Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Aisha Mnuka-Simba Queens
  2. Stumai Abdallah- Jkt Queens
  3. Kaecla Wilson-Yanga Princess
  4. Violath Nicholaus- Simba Queens
  5. Vivian Corazone- Simba Queens

Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Juma Mgunda-Simba Queens
  2. Esther Chabruma- Jkt Queens
  3. Noah Kanyoga-Ceasiaa Queens

Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Esther Maseke-Bunda Queens
  2. Lyidia Kabambo-Jkt Queens
  3. Bituro Mgosi-Bunda Queens

Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Sikudhan Mkurungwa
  2. Glory Tesha
  3. Zawadi Yusuph
  4. Monica Wazael
  5. Getruda Gervas

Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Bora Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Amina Kyando
  2. Tatu Malogo
  3. Anitha Kisoma
  4. Esther Adalbert

Wanaowania Tuzo ya Timu Yenye Nidhamu Ligi Kuu Ya Wanawake

  1. Bunda Queens
  2. Simba Queens
  3. Amani Queens

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Simba SC Yatoa Tamko Rasmi Kuhusu Kibu Mkandaji
  2. Msimamo wa NBC Championship Tanzania 2024/2025
  3. Ratiba ya Ngao ya Jamii 2024
  4. Kalenda ya Matukio Msimu wa 2024-2025
  5. Jemedari Said Kazumari Atangazwa kua CEO Mpya JKT Tanzania
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo